Katavi: Kijana ajiua baada ya Mama yake kukataa kujiunga CHADEMA

Nimesoma mahali kuwa kuna kjana kajiua Sumbwanga. Kwa wanaoona mbali hii si dalili njema. Huyu kaamua kujiua yeye, je angeamua kuondoka na watu wengine ingekuwaje?
 
Nimesoma mpaka form 2 natumia sim ya Milion mbili na laki 7 Nina gar 3 nyumba mbili mirad 6 Nina wafanya kazi 78 wote nawalipa na Nina miaka 27tu mkuu sijaajiriwa na mtu una la kuuliza Tena?
We Hamna kitu ni mwizi tu ,otherwise ndo wale wa ela za manyoka, Maisha ni siasa, Siasa zinaasili maisha yako direct, mfano sheria ya kikokotoo, PSSSF, NSSF, sheria za mtandao, kupanda kwa bei ya sukari, na cement, bati nk.

Vyote hivyo Ni madhara ya siasa, mtu anaingia madarakani anapiga marufuku kuingiza baadhi ya bidhaa tokea nje, matokeo yake sukari ya 1800 tunanunua 2800 mpka 3200, cement kutoka 15000 mpaka 20000.
Ubinafsishaji wa viwanda vya uma.
Wanasiasa ndo wanao kaa Bungeni na kukutungia sheria.
Usiwe punguani ,kuishia kwako 4m 2 au chuo kusisababishe wewe kuandika uhalisho hapa.
Ukiona huna la kusema kuhusu siasa kausha .
 
CHADEMA na wafuasi wake ilimu zao ni majanga tu,ona huyu mfuasi wenu akashindwa kumshawishi mama take kwa hoja kaona ajiue,angekuwa si mama yake angemuua kwa kosa la kuikataa CHADEMA, Mara nyingi nimekuwa nikisema mauaji yanayotokea nchi mwetu yanafanywa na CHADEMA baada ya kutofautiana kimisimamo, huyu kamsahi tu mama yake.
 
Watakuwa UVCCM ndiyo wamemtoa roho huyo kamanda. Ilaaniwe CCM na wote wanaoiunga mkono.
 
Nimesoma mpaka form 2 natumia sim ya Milion mbili na laki 7 Nina gar 3 nyumba mbili mirad 6 Nina wafanya kazi 78 wote nawalipa na Nina miaka 27tu mkuu sijaajiriwa na mtu una la kuuliza Tena?
Gari za kwenye ndoto afu kimaisha bado kabisa upo chini usitutishe jaribu kunifuatilia mim utajua kuwa huwezi nifikia kwnzia elimu mpaka maisha
 
Ni imani yangu kuwa kulikuwa na sababu zaidi ya hiyo.

Jesus is Lord!
 
Laana ,chadema mna laana kubwa Sana hapa duniani
 
Mimi nina mpango wa kuhama Chadema maana vijana wa huku wengi ni wavuta bangi na wanashabikia jinsia moja
Sio hayo tu mkuu lakini pia Chadema mashabiki wao wengi ni wanafunzi walio maliza vyuo hawana A wala Z wao wanaamin Elim zao zilikua ni pesa nyingi na wao ni matajir ila sababu ya serikal wao ni Maskin hii inawapelekea wao kuamin kua mwana siasa atawabadilishia maisha yao
 
kijana mjinga huyo
CCM wamejaza mabango peke yao nchi nzima ,wanajisifu wamefanya mambo makubwa sana lakini wana mgombea weak vibaya mno hawezi kufanya kampeni mfululizo for 7 days mmebaki kutumia polisi na NEC kumdhibiti Lissu Muda wa kukataliwa duniani na mbinguni umeshafika kwa Meko.
 
kijana mjinga huyo
Umefika wakati waukombozi siajabu mama alikuwa anamsumbua kijana halingumu nakijana kaiona fursa yasanduku lakura mama bado yupo ccm ndio baba nandio mama hatakama nimm naivi walichoma nyavu zangu halali ndiokabisaaa
 
Chadema mashabiki wao wengi ni wanafunzi walio maliza vyuo hawana A wala Z wao wanaamin Elim zao zilikua ni pesa nyingi na wao ni matajir ila sababu ya serikal wao ni Maskin hii inawapelekea wao kuamin kua mwana siasa atawabadilishia maisha yao
CCM wamejaza mabango peke yao nchi nzima ,wanajisifu wamefanya mambo makubwa sana lakini wana mgombea weak vibaya mno hawezi kufanya kampeni mfululizo for 7 days mmebaki kutumia polisi na NEC kumdhibiti Lissu Muda wa kukataliwa duniani na mbinguni umeshafika kwa Meko.
 
Hivi kushindwa kusomesha/kutunza watoto/familia nayo ni sifa ya kujiita mzalendo?
 
Dogo boya sana..ona sasa chadema wameshapoteza kura moja
 
Mama nae angejiua kwa sababu kijana kagoma kujiunga CCM chama alichomkuta nacho mama ake na kilichomlea huyo mtoto ingekuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…