Marshall plan
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 644
- 982
Bwana kawe aluminum baada ya kupotea umerudi Tena 🤣🤣Tuwafundishe watoto wetu wasitumie madawa ya kulevya km hichi chama
Mh raisi kikwete aliwezaje kupambania maisha bora kwa watanzania na kuwapatia ajira au hakuwa mwanasiasa?Wazaz wakat huu wa kampen Mnatakiwa muwe Makin Sana na vijana wenu kwa Hali iliopo Sasa na mpaka walipo fikia inaonesha ni Jinsi Gani wamesha jikatia Tamaa
Vijana wengi wa Chadema Wana Matumain ya kwamba mwenye funguo ya Maisha yao ni Mwanasiasa na wanaamin kua ili wao wafanikiwe ni Lazima Mwanasiasa awapambanie na kitu kibaya Zaid ni pale mwana siasa anapo jitokeza hadharan na kuwa ahid kua endapo watampa uongoz ataondoa kero zao na kufanya Maisha yao Kua Mazur kitu Ambacho sio kweli
Wazaz kuwen Makin na watoto zenu hasa Wafuas wa Chadema pia jitaidim kua mnaangalia mwenenndo wa Akil zao
Pale mtapo tulia Mashaka ni Bora uripot Police
Vijana wengi wamesha Anza kuuona ukweli mpaka kufikia Hatua ya kukata Tamaa Maana Mgombea wao Amesha onesha dalili ya kushindwa
Mzalendo sema.kijana mjinga huyo
Hakuna aliyefukuzwa mkuu, kagera yote ni ya Magufuli, busege ndio usiseme, Ila lissu alizomewa hadi Namhurumia kutokana na hali yake ilivyo
Mama ni mjinga zaidi kwa sababu anadai hawezi kuihama CCM kwa saba ana uzalendo na nchi yake!Uzalendo ni kukipenda chama au ni kuipenda nchi yako?kijana mjinga huyo
Chadema mashabiki wao wengi ni wanafunzi walio maliza vyuo hawana A wala Z wao wanaamin Elim zao zilikua ni pesa nyingi na wao ni matajir ila sababu ya serikal wao ni Maskin hii inawapelekea wao kuamin kua mwana siasa atawabadilishia maisha yao
[/QUOTE
una kili kwamba wamemaliza vyuo na hawana A wala B je anaye sababisha hili ni nani? serikali inayo toa ajira na kutoa miundombinu ya kuweza kujiajiri ama nani?
unazungumza ujinga mtupu
Ubishi wa mama sasa anajilaumu mwenyewe kwa kushindwa kuwa mama bora, mtoto anaona CCM inasababisha ugum wa maisha mama anasema tuendelee ivyoivyo iyo ndo shida muda kupita mama anakuomba hela lazima dogo apate hasra.Tukio la kujinyonga la kijana wa CHADEMA D kutokana na tofauti za KISIASA na mama yake mzazi ambae Ni CCM
Tukio hili la Chuki za KISIASA na UHASAMA ulio pitiliza umepelekea kifo
Najaribu kujiuliza huyu mama yake mzazi atatoa machozi msibani?
Najaribu kujiuliza CCM TAIFA au CCM Mpanda watampelekea kifuta jasho Cha kumpoteza mtoto Alie mzaa yeye mwenyewe?
Mama mzazi hato mwona Tena mwanae kisa itikadi za kisiasa hili Jambo linaumiza Sana itikadi za kisiasa...
Pengine mama aliamini kua mtoto Alie mzaa mwenyew hawezi kua na itikadi tofauti na zake pengine hapo ndio kweny mzizi wa hiki tukio
Somo la political torelance litolewe kwa raia wote na tuvumiliane tupendane.
Mungu Ibariki Tanzania
======
Kijana anayefahamika kwa jina la Twaybu Omary, 22, mkazi wa Mtaa wa Nsemulwa Kata ya Nsemulwa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amekutwa bafuni akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia waya mweusi, huku chanzo kikidaiwa ni baada ya mama yake kukataa kuwa mfuasi wa CHADEMA.
Kitanzi
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoani Katavi Abdi Isango amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema siku moja kabla ya kifo cha kijana huyo kulitokea tofauti ya majibizano ya kisiasa, ambapo marehemu alikuwa ni mfuasi wa CHADEMA na alikuwa akimshawishi mama yake kuhamia chama hicho ndipo mama yake ambaye ni mfuasi wa CCM akakasirika na kumpiga kofi mwanaye.
Akimzungumzia mtoto wake huyo aliyejiua, Mama mzazi wa marehemu Mariam Shamsha, amesema mtoto wake alikuwa anapenda kusoma lakini alishindwa kumtimizia ndoto zake kutokana na kipato chake kuwa kidogo.
"Mwanangu aliniambia nijiunge na CHADEMA, mimi nikakataa nikasema siwezi kujiunga, nikamuambia mimi nina uzalendo na nchi yangu", amesimulia Mama wa marehemu.
( Via Eatv.tv)
Kama lugha huimudu kwa nini unalazimisha, ili iweje?Go to school english is Tanzania official language
Halafu mnasema mnasimamia demokrasia na uhuru wa mtu kuamua? Mwacheni Mama wa watu.Ubu
Ubishi wa mama sasa anajilaumu mwenyewe kwa kushindwa kuwa mama bora, mtoto anaona ccm inasababisha ugum wa maisha mama anasema tuendelee ivyoivyo iyo ndo shida muda kupita mama anakuomba hela lazima dogo apate hasra
Du tumefika huko?Tukio la kujinyonga la kijana wa CHADEMA D kutokana na tofauti za KISIASA na mama yake mzazi ambae Ni CCM
Tukio hili la Chuki za KISIASA na UHASAMA ulio pitiliza umepelekea kifo
Najaribu kujiuliza huyu mama yake mzazi atatoa machozi msibani?
Najaribu kujiuliza CCM TAIFA au CCM Mpanda watampelekea kifuta jasho Cha kumpoteza mtoto Alie mzaa yeye mwenyewe?
Mama mzazi hato mwona Tena mwanae kisa itikadi za kisiasa hili Jambo linaumiza Sana itikadi za kisiasa...
Pengine mama aliamini kua mtoto Alie mzaa mwenyew hawezi kua na itikadi tofauti na zake pengine hapo ndio kweny mzizi wa hiki tukio
Somo la political torelance litolewe kwa raia wote na tuvumiliane tupendane.
Mungu Ibariki Tanzania
======
Kijana anayefahamika kwa jina la Twaybu Omary, 22, mkazi wa Mtaa wa Nsemulwa Kata ya Nsemulwa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amekutwa bafuni akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia waya mweusi, huku chanzo kikidaiwa ni baada ya mama yake kukataa kuwa mfuasi wa CHADEMA.
Kitanzi
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoani Katavi Abdi Isango amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema siku moja kabla ya kifo cha kijana huyo kulitokea tofauti ya majibizano ya kisiasa, ambapo marehemu alikuwa ni mfuasi wa CHADEMA na alikuwa akimshawishi mama yake kuhamia chama hicho ndipo mama yake ambaye ni mfuasi wa CCM akakasirika na kumpiga kofi mwanaye.
Akimzungumzia mtoto wake huyo aliyejiua, Mama mzazi wa marehemu Mariam Shamsha, amesema mtoto wake alikuwa anapenda kusoma lakini alishindwa kumtimizia ndoto zake kutokana na kipato chake kuwa kidogo.
"Mwanangu aliniambia nijiunge na CHADEMA, mimi nikakataa nikasema siwezi kujiunga, nikamuambia mimi nina uzalendo na nchi yangu", amesimulia Mama wa marehemu.
( Via Eatv.tv)
Dunia ina mambo.
R.I.P Kamanda
ila ingependeza kama angejitoa mhanga akaf..a na maccm kadhaa ingependeza sana kwakweli!.
Haaaaaaa, is that your problem? Don’t read it then, is for those who can read and understandKama lugha huimudu kwa nini unalazimisha, ili iweje?
'Fryover' ni kitu gani? Au ulikuwa na maana ya 'Flyover'?Ninachojiuliza na kushangaa sana kwa Tume, na polisi, hivi huyu mtu anaitwa Lissu hajajenga Fryover, hajanunua ndege,hajajenga jengo lolote la kiserikali, hajazindua mradi wowote kwa mbwembwe hana kwanza hiyo nafasi, hajajenga barabara hata robo mita tu, Lakini!!Lakini!!! Jamaa anawasumbua vibaya mnoo!! Kila sehemu akienda nyomiii!! Kila anapopita haitwi Lissu bali ni Raisi!! Hii inawauma sana ccm hilo tunafahamu ila kiukweli jamaa anapendwa na raia huo ndio ukweli maana katika mikutano yake yote hakuna tisheti za bure zinazogawiwa, maana kwanza chama hakina pesa za kufanya hivyo watu wanaenda kwa miguu yao na kwa ridhaa yao sio kufatwa fatwa na kupewa tisheti na kabuku 10 kama maji kama wafanyavyo upande wa pili.Kweli mzee baba umetisha. Mwaka ni wako huu.
Wewe acha kujidhalilisha.Haaaaaaa, is that your problem? Don’t read it then, is for those who can read and understand
Labda vijana wamehaidiwa kila mmoja atafute wafuasi wawili au mmoja watapewa pesa. Sasa kijana kaanza na mama mzazi akijua hiyo ni uhakika kura yake. Awaule wazee wa ngwasima aka wajumbe wanapopiga kura matokeo yakitoka wanakusononeka kweli kweli, wakidai wamekupigia. Ili takiwa na huyu mama amjibu tuu nitampigia kura huyo unayemtaka. Akifika kwenye box anapindua kura kwa CCM OYEEEEHapa hakuna sababu ya kulaum chama, familia hiyo ndo ina matatizo hasa kijana.
Bangi mbaya sana.Tukio la kujinyonga la kijana wa CHADEMA kutokana na tofauti za KISIASA na mama yake mzazi ambae Ni CCM
Chuki za KISIASA na UHASAMA baina ya mama na mtoto umepelekea kifo
Najaribu kujiuliza huyu mama yake mzazi atatoa machozi msibani?
Najaribu kujiuliza CCM TAIFA au CCM Mpanda watampelekea kifuta jasho Cha kumpoteza mtoto Alie mzaa yeye mwenyewe?
Mama mzazi hato mwona Tena mwanae kisa itikadi za kisiasa hili Jambo linaumiza Sana itikadi za kisiasa...
Pengine mama aliamini kua mtoto Alie mzaa mwenyew hawezi kua na itikadi tofauti na zake pengine hapo ndio kweny mzizi wa hiki tukio
Somo la political torelance litolewe kwa raia wote na tuvumiliane tupendane.
Mungu Ibariki Tanzania
======
Kijana anayefahamika kwa jina la Twaybu Omary, 22, mkazi wa Mtaa wa Nsemulwa Kata ya Nsemulwa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amekutwa bafuni akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia waya mweusi, huku chanzo kikidaiwa ni baada ya mama yake kukataa kuwa mfuasi wa CHADEMA.
Kitanzi
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoani Katavi Abdi Isango amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema siku moja kabla ya kifo cha kijana huyo kulitokea tofauti ya majibizano ya kisiasa, ambapo marehemu alikuwa ni mfuasi wa CHADEMA na alikuwa akimshawishi mama yake kuhamia chama hicho ndipo mama yake ambaye ni mfuasi wa CCM akakasirika na kumpiga kofi mwanaye.
Akimzungumzia mtoto wake huyo aliyejiua, Mama mzazi wa marehemu Mariam Shamsha, amesema mtoto wake alikuwa anapenda kusoma lakini alishindwa kumtimizia ndoto zake kutokana na kipato chake kuwa kidogo.
"Mwanangu aliniambia nijiunge na CHADEMA, mimi nikakataa nikasema siwezi kujiunga, nikamuambia mimi nina uzalendo na nchi yangu", amesimulia Mama wa marehemu.
( Via Eatv.tv)
======
TAARIFA YA JESHI LA POLISI
KUJINYONGA
Mnamo tarehe 30/09/2020 majira ya saa 14:30 huku katika mtaa wa Kwalakwacha kata ya Nsemulwa na Tarafa ya Kashaulili Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi. Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la TWAYBU S/O OMARY, mika 24, mkulima, muislamu na mkazi wa Nsemulwa. Alikutwa bafuni akiwa amejinyonga kwa kutumia waya wenye rangi nyeusi huku mwili wake ukiwa una ning'inia kwenye kenchi.
Baada ya taarifa ya tukio hilo kufika kituo cha Polisi timu ya makachero pamoja na daktari walifika eneo la tukio na kukagua eneo hilo kisha daktari alifanya uchunguzi wa kitabibu wa mwili huo. Ambapo baada ya taratibu zote kukamilika mwili ulikabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.
RAI:- Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linatoa wito kwa wamiliki na watumiaji wa vyombo vya moto kufuata sheria za usalama barabarani itakayosaidia kujiepusha na matukio ya ajali zinazoweza kuepukika yasitokee ndani ya jamii yanayopelekea kugharimu maisha ya watu na taifa kwa ujumla.
IMETOLEWA NA:-
ACP. Benjamin E. Kuzaga,
Kamanda wa Polisi,
Mkoa wa Katavi.
Hayo ni mahaba ya dhati Amanda Mchovu.Bangi mbaya sana.
wewe utakuwa moja ya matapeli wakubwa wa mjini au walamba viatu wa wamaccm