Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne

Jamii yetu ilipofikia kwa sasa uaminifu ni mdogo. Wazazi kuweni makini na watoto wenu.
 
Hivi hizi dini (Christian, Muslims etc) mbona zina haya mambo sana ya ulawiti kwa watoto wadogo? ila ukiwakuta madhabauni huwezi kudhania kabisa.
Halafu unakuta Mwaafrika anashangaa Wazungu wanaacha kwenda Kanisani. Ukijua kwa undani historia za hizi taasisi za dini utapata taabu kwenda kanisani na Msikitini.
 
Mungu awape Uvumilivu na Utulivu Wakatoliki wote kwa kipindi hiki cha fedhea. Wahenga walisema ukivuliwa nguo chutama
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limemkamata mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti watoto wanne.
Afungwe maisha huyo
 
Kuna popote huo Ukatoliki unafundisha ushenzi kama huo?

Kwanini isiwe "Wanaume washenzi kama kawaida yao kulawiti watoto"

Hivi hapo tatizo ni Ukatoliki au ushenzi tu wa huyo mtu?!
 
Huyu nae katuabisha wakristo daaah, Katavi kuna machangu wengi alishindwa kuhonga kwani au domo zege khaaa
Wala hajaaibisha wakristo, kwa wakatoliki hilo sio jambo la ajabu kulawiti watoto, hiyo ni moja wapo ya ibada.

Hukuona Papa Benedict anakiri kwamba alimlinda askofu aliekua mshikaji wake ambae alikua anachunguzwa kwa kulawiti watoto.
 
Ni mbaya MNO
 
Kuna popote huo Ukatoliki unafundisha ushenzi kama huo?

Kwanini isiwe "Wanaume washenzi kama kawaida yao kulawiti watoto"

Hivi hapo tatizo ni Ukatoliki au ushenzi tu wa huyo mtu?!
Hizi cases zimekua common sana kwenye ukatoliki, huku Afrika bado mambo yanawekwa chini ya kapeti ila ukweli siku ukijulikana hali ni mbaya zaidi ya ulaya.
 
Hiki kitu Ni kibaya .Viongozi wa Dini Ni Mfano wa Mambo mema sio huo ushetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…