Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne

Asante Mungu haya mambo hajayafanya muislam tungrshambuliwa hadi tukome. Na angekuwa kafanya ustaadh kesi ingechukua wiki tu angefungwa lakini kwa huyo itamiliza miaka na kuachiwa huru kama tule padri aliyetia mimba kident kule moshi

Na lingine la kushukuru ni kwamba kalawiti waumini wenzie.Alhamdulillah
 
Huyu nae katuabisha wakristo daaah, Katavi kuna machangu wengi alishindwa kuhonga kwani au domo zege khaaa

Mbona mara kibao tu mnaibishana huko makanisani na mashuleni!! Unashangaa nini sasa mzehe!!!

 
Na lingine la kushukuru ni kwamba kalawiti waumini wenzie.Alhamdulillah
Siku zote kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake. Hata baadhi ya wale walimu wenu wenye hizo tabia, na wenyewe huwa hawachezi mbali.
 
Kwani kanisa ndo limemtuma kufanya hivyo?
KWANZA NIKUWEKE WAZI MIMI NI MKRISTO DAMU DAMU

HIZI TAKATAKA ZINGINE SIO ZA KUKAA KIMYA!!!!

KABLA SIJAKUJIBU SWALI LAKO EBU JIBU HILI KWANZA:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi
limemkamata mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John (27) akituhumiwa kuwalawiti watoto wanne.

KWA NINI MWANDISHI WA HABARI KAANZA NA UTAMBULISHO WA NAFASI YA MWALIMU?
 
Kanisa watakuja kukanusha hawamfahamu mtu kama huyo na hawajawahi kuwa naye
 
Halafu unakuta Mwaafrika anashangaa Wazungu wanaacha kwenda Kanisani. Ukijua kwa undani historia za hizi taasisi za dini utapata taabu kwenda kanisani na Msikitini.

Mada inahusu "ulawiti" mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki, sasa hapa uisilamu umeingiaje??? Halaf watu kama ninyi Mods wanawaangalia tuu.
 
Mada inahusu "ulawiti" mwalimu wa mafundisho ya dini katika Kanisa la Katoliki, sasa hapa uisilamu umeingiaje??? Halaf watu kama ninyi Mods wanawaangalia tuu.
Ulawiti unaofanywa na waalimu wa huko Kanisani na Msikitini ni ulawiti tofauti na kule mtaani? Au wewe ni mjinga tu.
 
Ulawiti unaofanywa na waalimu wa huko Kanisani na Msikitini ni ulawiti tofauti na kule mtaani? Au wewe ni mjinga tu.

Mada inahusu mkristo, so jikite kwenye mada/ukristu na co uisilamu bwana
 
Katika comment yakikoouma hii ndo namba Moja Hapa jf n Wew ndo lipoumbavou kuliko mtu yyte Hapa
Kwa kua nimewasema waume zako na wewe hutaki ndio maana unawaka kama jiko la gesi. Jamaa wamekuharibu kiasi kwmaba hutaki wasemwe, unataka waendelee kukutafuna tu shoga mkubwa.
 
Baba yako pia tulimlawiti, Bado wewe!
 
Hizi cases zimekua common sana kwenye ukatoliki, huku Afrika bado mambo yanawekwa chini ya kapeti ila ukweli siku ukijulikana hali ni mbaya zaidi ya ulaya.
Angalau angalau ukisema Wakatoliki ingawaje pia sio sahihi, lakini ukisema Ukatoliki ndo SIO SAHIHI KABISA!!
Mababu,zenu wa kanisa waliwaza nini kuchora hivi kwenye nyumba ya ibadaView attachment 2115435View attachment 2115436View attachment 2115437
If you don't mind, lemme ignore you, please!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…