DOKEZO Katavi siyo salama. Kuna kikundi kinaitwa "Damu Chafu" ambacho kinafanya mauaji, ni hatari sana!

DOKEZO Katavi siyo salama. Kuna kikundi kinaitwa "Damu Chafu" ambacho kinafanya mauaji, ni hatari sana!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu. Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kunamtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi Cha mauaji hatari sana.
Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya kuuliwa Askari wa zimamoto na uokoaji.
Sasa mauaji yamefika mpaka kwa Askari.
Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.
Tunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.
Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
RC mwanaMama, RPC mwanamke ukiweka na uhalisi kwamba huo Mkoa umejaa Wahutu toka Burundi na zile roho mbaya zao za Kikatili utagundua kwamba Set Up ya Uongozi iko ovyo.
 
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu. Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kunamtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi Cha mauaji hatari sana.
Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya kuuliwa Askari wa zimamoto na uokoaji.
Sasa mauaji yamefika mpaka kwa Askari.
Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.
Tunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.
Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
Kamati yenu ya ulinzi na usalama hapo mkoani na wilayani hawafahamu hili ?
 
Poleni sana ndugu zetu ,ila wakianza kulambishwa mchanga na ndio kitu wanastahili msianze tena " jamani wajukuu zetu wamefuatwa hawajarudi mjue tayari damu chafu zimeenda kufanyiwa usafi.
 
RPC wenu hajashindwa mpeni muda wajue na timing kikundi cha watu 10 hadi 20 mnapiga yowe kwa rais daaaa wekeni mikakati na RPC wenu yataishaaa vibaka tu hao sio hata kitu cha maana kupiga yowe kwa Rais
 
Mkuu wa mkoa no Mwanamke na mkuu wa wilaya mwanamke(kama sijakosea sana)alafu sijui kama wamepita jeshini. Kwa hali ilipofikia inatakiwa operation maalum
 
Back
Top Bottom