DOKEZO Katavi siyo salama. Kuna kikundi kinaitwa "Damu Chafu" ambacho kinafanya mauaji, ni hatari sana!

DOKEZO Katavi siyo salama. Kuna kikundi kinaitwa "Damu Chafu" ambacho kinafanya mauaji, ni hatari sana!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
huo mji
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu.

Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.

Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana.

Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya kuuliwa Askari wa zimamoto na uokoaji.
Sasa mauaji yamefika mpaka kwa Askari.

Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.

Tunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.

Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
[/ mji mgumu sana
 
Kwtavi mauaji ni mengi Tena mchanamchana au usiku mchanga. Tatizo hakuna media inareport. Polisi wamefanya dolia lakini haidaidii.
Ninaposema sio salama elewa hivyo.
Watu kuuwawa imekua sio habari Tena yaani kama Gaza tu.
Fikiria watu watekwa na kuuwawa sehem moja Tena kwa siku za kufuatana. Yaani mjini kunakua na sehem inayoogopwa mpaka na polisi wenyewe, why? . Hao polisi wenyewe tunaishinao nawapo pia tujificha nao.
 
Nadhani wenda ni mhuni mmoja tu kama yule Dangote aliyekua akiuwa watu kwa kuwachoma visu hapa arusha lakini 40 yake ilipofika naye aliuwawa.
 
Jukumu la usalama wa raia na mali zao ni la jeshi la Police, Police ndio wafanye kazi yao. Mimi huwa siamini eti hivi vikundi vinashindikana, ni kuvipuuzia na kutowajibika ndio kunafikisha huku.

Mpaka kenge atoke damu masikioni ndio anajua kuna hatari, ndio hii tunashtuka tayari kikundi kimekuwa kikubwa, hatari sana.
Kwani ndani ya huo mkoa hakuna kambi za hawa ndugu zetu bakabaka??
 
WATU WA MIKOANI MMEANZA KULALAMIKA HIVI LINI? NINYI MLIKUWA MNA SEMA PANYA ROAD MNGEWAMALIZA WENYEWE BILA POLISI. NI NINI KIMEWAKUTA. PAMBANENI NA HUTO TUTOTO. KAMA TUNA DAMU CHAFU IMWAGENI HIYO DAMU YAO.
 
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu.

Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.

Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana.

Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya kuuliwa Askari wa zimamoto na uokoaji.
Sasa mauaji yamefika mpaka kwa Askari.

Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.

Tunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.

Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.[emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kupambana na hao DAMU CHAFU tu ndio mpaka aletwe Mkuu wa Mkoa mwanajeshi?

Katavi kuna kambi za Jeshi, ina maana wakuu wa hizo kambi wameshindwa na DAMU CHAFU?
Ukiona hivyo ujuwe kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa haielewani au kuna kitu wanavutana, sasa kuna kama kahujuma flani hivi kanaendelea chini kwa chini! Rejea mauwaji ya Kibiti!!
 
Back
Top Bottom