DOKEZO Katavi siyo salama. Kuna kikundi kinaitwa "Damu Chafu" ambacho kinafanya mauaji, ni hatari sana!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
RC mwanaMama, RPC mwanamke ukiweka na uhalisi kwamba huo Mkoa umejaa Wahutu toka Burundi na zile roho mbaya zao za Kikatili utagundua kwamba Set Up ya Uongozi iko ovyo.
 
Kamati yenu ya ulinzi na usalama hapo mkoani na wilayani hawafahamu hili ?
 
Poleni sana ndugu zetu ,ila wakianza kulambishwa mchanga na ndio kitu wanastahili msianze tena " jamani wajukuu zetu wamefuatwa hawajarudi mjue tayari damu chafu zimeenda kufanyiwa usafi.
 
RPC wenu hajashindwa mpeni muda wajue na timing kikundi cha watu 10 hadi 20 mnapiga yowe kwa rais daaaa wekeni mikakati na RPC wenu yataishaaa vibaka tu hao sio hata kitu cha maana kupiga yowe kwa Rais
 
Mkuu wa mkoa no Mwanamke na mkuu wa wilaya mwanamke(kama sijakosea sana)alafu sijui kama wamepita jeshini. Kwa hali ilipofikia inatakiwa operation maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…