bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
UlinziWatu watasingiziwa na haswa wanaochukiana,swali langu ni POLISI WANAFANYA NINI AU WAO KAZI YAO NI KUVUNJA MIGUU YA WAPINZANI?
Wahalifu siku zote huwa ni watoto wadogoNi Vijana wadogo Sana, last time walifanya mauwaji jirani na stand ya mabasi Mpanda na bahati mbaya hakuna media ina-report
Pole sana mkuu, viongozi inabidi walifuatilie hilo, siku hizi vibaka wamekuwa wengi.Kaka nomevurugwa. Hatuna amani kama mikoa mingine. Mauaji ya kikatili yamekua mengi sana. Tunafikiria kuakisua familia kama wakimbizi
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu.
Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana.
Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya kuuliwa Askari wa zimamoto na uokoaji.
Sasa mauaji yamefika mpaka kwa Askari.
Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.
Tunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.
Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
[/ mji mgumu sana
Katavi ishakuwa ukanda wa GazaBora gaza au sio
DuhBora gaza au sio
SawqUlinzi
Wahalifu siku zote huwa ni watoto wadogo
Kura za hivyo ni kama ramli chonganishi mkuu.Pigeni kura mtawajua wahusika
Aisee inaumiza sana kijana wa watu alikua bado mdogo unatoka kwenu unaenda kufanya kazi mikoa mingine unauwawa kikatili.
Kwani ndani ya huo mkoa hakuna kambi za hawa ndugu zetu bakabaka??
Vinginevyo mrudisheni Muroto kazini kwa wiki mbili tu. Atawapa kipigo cha mbwa Koko na kuwapoteza kabisa toka Sura ya Dunia hii.Aende Kamanda Muliro kwa dharura kidogo muone mziki!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Huwezi pigia kura zaidi useme wamekusingiziaKura za hivyo ni kama ramli chonganishi mkuu.
Inatakiwa kuwang'oaTunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.
Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
Kibongo bongo watu wana mabifu na wivu wa kimoyo moyo kusingiziwa ni rahisi sana.Huwezi pigia kura zaidi useme wamekusingizia
Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu.
Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana.
Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya kuuliwa Askari wa zimamoto na uokoaji.
Sasa mauaji yamefika mpaka kwa Askari.
Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.
Tunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.
Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
Ukiona hivyo ujuwe kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa haielewani au kuna kitu wanavutana, sasa kuna kama kahujuma flani hivi kanaendelea chini kwa chini! Rejea mauwaji ya Kibiti!!Yaani kupambana na hao DAMU CHAFU tu ndio mpaka aletwe Mkuu wa Mkoa mwanajeshi?
Katavi kuna kambi za Jeshi, ina maana wakuu wa hizo kambi wameshindwa na DAMU CHAFU?