Pre GE2025 KATAVI: Wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA Taifa watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu

Pre GE2025 KATAVI: Wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA Taifa watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852

Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,

Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%

Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

VOX POPULI, VOX DEI
 
Imekuwaje Mbowe ameshindwa kusoma alama za nyakati?
Well hili tatizo si kwa mbowe, viongozi wengi wa afrika huwa hawabadiliki. Wao bado wanafikiri walio wapitisha mikaa hiyo ndio wale wale, vizazi vikibadilika wakaanza kupata ushindani ndipo wanapata stress na kutumia kila namna ya kubaki madarakani

Wengi hawajiandai baada ya madaraka wanaelekea wapi
 
Back
Top Bottom