Pre GE2025 KATAVI: Wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA Taifa watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi mshangao wangu mkubwa ni Mbowe kutofautiana na Lema.Nimeshangaa kwa kweli.Nilifikiri Lema ni chawa mkubwa wa Mbowe.
Lema hajawahi kuwa chawa wa mtu yoyote, si Mbowe wala Lissu. He is one independent motherfvcker. Yoyote akiona anazingua hawezi kum-support.
In this saga kuna chawa wa Mbowe, chawa wa Lissu na wale walio independent. Three sects.
 
View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,

Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%

Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

VOX POPULI, VOX DEI
hao ni wajumbe wa kata gani gentleman 🐒
 
Mbowe ajitoe tuu huko kwenye chama la sivyo avuruge uchaguzi.

Yaani alipe pesa za mkutano harafu akapigwe za uso si upuuzi huo.

Mwisho Kwa Sasa hao Jamaa Wana mihemko na Lisu wamchague tuone kile watafanya na kupata.
 
View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,

Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%

Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

VOX POPULI, VOX DEI
Hadi leo najiuliza, kwanini Mbowe amejitakia aibu hii? Kwanini asingestaafu kwa heshima?
Na akileta uhuni katika sanduku la kura ndio ataiua CDM kabisa!

Heshima kwenu wajumbe wa Katavi na wote mnaomuunga Lissu mkono, mabadiliko ni sasa.
 
Mimi mshangao wangu mkubwa ni Mbowe kutofautiana na Lema.Nimeshangaa kwa kweli.Nilifikiri Lema ni chawa mkubwa wa Mbowe.
Hata mimi nimeshangaa sana! Huenda alimpa ushauri wa kuachana na uwenyekiti akashupaza shingo.
 
Nafikiri ikibidi nasi hata wote wawili km ni ngumu, apewe neutral mtu km Heche, ili chama kisisambaratike ama namna gani? 😀
 
View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,

Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%

Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

VOX POPULI, VOX DEI
Unawajua wajumbe lakini?
Watia nia wa CCM wanawajua vizuri.
Midomoni wanakupamba na kukuchekea.... kwenye sanduku la kura wanakutwanga.
Ndicho kinachoweza kumkuta TAL
Wajumbe si watu wazuri😂
 
Mwamuzi wa nyakati ni sanduku la kura
Mbona timu Lisu mnahaha sana mnataka ushindi wa mezani bila kura haipo hiyo

Subirini tu sanduku la kura

Heshimuni katiba na demokrasia ya kura
Wanachama hatumtaki huyo Mbowe, kwahiyo wajumbe wakimpa kura sisi tutawaachia chama chenu tuwe watazamaji tu tuone huyo fisadi kama hajajiuzulu kwa aibu kabla hata ya Oktoba
 
Hivyo vijamaa viwili vilivyojaa njaa - 21st siyo mbali, tusikimbiane tu baada ya uchaguzi na visingizio kibao.
Wenye njaa tupo wengi na tumekuwa tukikichangia hiki chama huku majimboni kifanye hata mikutano tu.
Nyie mlioshiba tambueni mpo wachache na mnahesabika.
Mlioshiba kumbukeni mnapotoa pesa eti mnakikopesha chama huku sisi wenye njaa tukijitolea tu.
Muda wa utapeli wenu umefika mwisho
 
Wanachama hatumtaki huyo Mbowe, kwahiyo wajumbe wakimpa kura sisi tutawaachia chama chenu tuwe watazamaji tu tuone huyo fisadi kama hajajiuzulu kwa aibu kabla hata ya Oktoba
Wenye chama ni sisi wanachama huku mashinani, wakishupaza shingo tutawaachia saccos yao tuone kama watapata hata diwani mmoja tu kwenye uchaguzi
 
View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,

Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%

Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

VOX POPULI, VOX DEI
Wakina mbowe na matapeli wenzake ndani ya chadema walitaka kuget rid ya ile timu yote cream ya wakina Lema, Msigwa, na Heche wote wasipate uenyekiti wa Kanda. Hilo likafanikiwa. Mission ikawa tunamtoaje Lissu. Wakaona ingiza Wenje ambae muda wote ni "Yes Sir". Lissu nae akachapa "ambush" ya maana. Nakufuata hukohuko juu 😅😅😅
 
View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,

Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%

Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

VOX POPULI, VOX DEI
Bahati mbaya hujataja majina.
 
Wenye njaa tupo wengi na tumekuwa tukikichangia hiki chama huku majimboni kifanye hata mikutano tu.
Nyie mlioshiba tambueni mpo wachache na mnahesabika.
Mlioshiba kumbukeni mnapotoa pesa eti mnakikopesha chama huku sisi wenye njaa tukijitolea tu.
Muda wa utapeli wenu umefika mwisho
Hamna kitu humo, wana CDM wapo makini saana ni suala la muda tu kumpopopoa mtu anayeongea saana kama kameza betri.
 
View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,

Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%

Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

VOX POPULI, VOX DEI
Wapiga kura wanafki wanaweza hata kukubeba na kukupigia magoti ila mwisho wa siku kura wakampigia mpinzani wako.
 
Back
Top Bottom