Pre GE2025 KATAVI: Wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA Taifa watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu

Pre GE2025 KATAVI: Wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA Taifa watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Miaka ishirini madarakani bado unahitaji uchaguliwe kwenye Sanduku la Kura?
Kama katiba inaruhusu hakuna tatizo
Wapi katiba ya Chadema inasema mtu akiongoza miaka 20 haruhusiwi kugombea tena? Tiini katiba nyie team Lisu
 
Kama katiba inaruhusu hakuna tatizo
Wapi katiba ya Chadema inasema mtu akiongoza miaka 20 haruhusiwi kugombea tena? Tiini katiba nyie team Lisu
Mbali na Sheria, kanuni na mwongozo Uongozi ni pamoja na kutumia busara pia. Ukikaa na mtu muda mwingi madarakani huyo mtu huchujuka (hupauka) kifikra
 
Mbali na Sheria, kanuni na mwongozo Uongozi ni pamoja na kutumia busara pia. Ukikaa na mtu muda mwingi madarakani huyo mtu huchujuka (hupauka) kifikra
Sheria,kanuni na miongozo viliwekwa ili ili kuepusha vitu vinavyoitwa matumizi ya busara kupindisha katiba,kanuni na miongozo

Mbowe ni haki yake kugombea kwa mujibu wa katiba kanuni na miongozo
 
Sheria,kanuni na miongozo viliwekwa ili ili kuepusha vitu vinavyoitwa matumizi ya busara kupindisha katiba,kanuni na miongozo

Mbowe ni haki yake kugombea kwa mujibu wa katiba kanuni na miongozo
Unaweza ukawa kwenye haki nyakati zikakukataa!
 
Mwamuzi wa nyakati ni sanduku la kura
Mbona timu Lisu mnahaha sana mnataka ushindi wa mezani bila kura haipo hiyo

Subirini tu sanduku la kura

Heshimuni katiba na demokrasia ya kura
Sio kuhaha nyie kura zenu zinatoka Mbinguni?
 
Mbowe atajikuta kabaki na lukas Mwashambwa peke yake, acha aendelee kukaza fuvu
 
Mpaka sasa wanaomuunga Mkono museveni ni Ntobi na yericko muabudu mizimu tu
 
Hivi Mbowe wa kweli ameenda wapi.Maana yule wa jana aliyekuwa anahojiwa na Kikeke anapata kigugumizi kidogo,hajiamini na anatoa majibu mepesi kabisa.
Hakika Dk Slaa aliifaa sana Chadema.Sasa hivi imepaya mno.
Slaa amekuja kujidhihirisha dhahiri kuwa alikuwa a bloody two headed serpent, pimbi wa aina hiyo hafai kwa lolote. Mtu ambaye easily aligeuka na kuanza kupambana kushambulia opposition ni mbwa 100%, bora hata Lowassa alivyorudi CCM hakuwa akitupa makombora kubomoa upinzani bali ilikuwa purely ni kwa ajili ya kulinda biashara zake na si zaidi ya hapo.
Mpuuzi kama Slaa hafai kuwa mfano katika harakati za upinzani regardless what he did alipokuwa huko same applies to Msigwa, hao ndiyo Nyerere aliwa-categorize kama malaya wa kisiasa. Ni wa kuogopwa kama ukoma.
 
Back
Top Bottom