M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Lema hajawahi kuwa chawa wa mtu yoyote, si Mbowe wala Lissu. He is one independent motherfvcker. Yoyote akiona anazingua hawezi kum-support.Mimi mshangao wangu mkubwa ni Mbowe kutofautiana na Lema.Nimeshangaa kwa kweli.Nilifikiri Lema ni chawa mkubwa wa Mbowe.
hao ni wajumbe wa kata gani gentleman 🐒View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,
Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%
Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
VOX POPULI, VOX DEI
Mbowe ajitoe tuu huko kwenye chama la sivyo avuruge uchaguzi.View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,
Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%
Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
VOX POPULI, VOX DEI
System ipo kazini tayari. Wataenda wanajitangaza na mikoa mingine yotekuna ulazima gani kuja public?
Hadi leo najiuliza, kwanini Mbowe amejitakia aibu hii? Kwanini asingestaafu kwa heshima?View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,
Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%
Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
VOX POPULI, VOX DEI
Hata mimi nimeshangaa sana! Huenda alimpa ushauri wa kuachana na uwenyekiti akashupaza shingo.Mimi mshangao wangu mkubwa ni Mbowe kutofautiana na Lema.Nimeshangaa kwa kweli.Nilifikiri Lema ni chawa mkubwa wa Mbowe.
Kisomo ,kisomo kikiwa duni lazima kitajitokeza na hapa kwa huyu Mzee ndio kilichojitokezaImekuwaje Mbowe ameshindwa kusoma alama za nyakati?
Unawajua wajumbe lakini?View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,
Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%
Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
VOX POPULI, VOX DEI
Yes mkuuKwangu naona wale waliomshauri mbowe agombee Tena uwenyekiti walifanya kosa kubwa sana, mbowe kafika mwisho
Hizo ndo kampeni zenyewekuna ulazima gani kuja public?
Wanachama hatumtaki huyo Mbowe, kwahiyo wajumbe wakimpa kura sisi tutawaachia chama chenu tuwe watazamaji tu tuone huyo fisadi kama hajajiuzulu kwa aibu kabla hata ya OktobaMwamuzi wa nyakati ni sanduku la kura
Mbona timu Lisu mnahaha sana mnataka ushindi wa mezani bila kura haipo hiyo
Subirini tu sanduku la kura
Heshimuni katiba na demokrasia ya kura
Walianza wale wa kanda ya pwanikuna ulazima gani kuja public?
Wenye njaa tupo wengi na tumekuwa tukikichangia hiki chama huku majimboni kifanye hata mikutano tu.Hivyo vijamaa viwili vilivyojaa njaa - 21st siyo mbali, tusikimbiane tu baada ya uchaguzi na visingizio kibao.
Wenye chama ni sisi wanachama huku mashinani, wakishupaza shingo tutawaachia saccos yao tuone kama watapata hata diwani mmoja tu kwenye uchaguziWanachama hatumtaki huyo Mbowe, kwahiyo wajumbe wakimpa kura sisi tutawaachia chama chenu tuwe watazamaji tu tuone huyo fisadi kama hajajiuzulu kwa aibu kabla hata ya Oktoba
Wakina mbowe na matapeli wenzake ndani ya chadema walitaka kuget rid ya ile timu yote cream ya wakina Lema, Msigwa, na Heche wote wasipate uenyekiti wa Kanda. Hilo likafanikiwa. Mission ikawa tunamtoaje Lissu. Wakaona ingiza Wenje ambae muda wote ni "Yes Sir". Lissu nae akachapa "ambush" ya maana. Nakufuata hukohuko juu 😅😅😅View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,
Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%
Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
VOX POPULI, VOX DEI
Bahati mbaya hujataja majina.View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,
Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%
Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
VOX POPULI, VOX DEI
Hamna kitu humo, wana CDM wapo makini saana ni suala la muda tu kumpopopoa mtu anayeongea saana kama kameza betri.Wenye njaa tupo wengi na tumekuwa tukikichangia hiki chama huku majimboni kifanye hata mikutano tu.
Nyie mlioshiba tambueni mpo wachache na mnahesabika.
Mlioshiba kumbukeni mnapotoa pesa eti mnakikopesha chama huku sisi wenye njaa tukijitolea tu.
Muda wa utapeli wenu umefika mwisho
Wapiga kura wanafki wanaweza hata kukubeba na kukupigia magoti ila mwisho wa siku kura wakampigia mpinzani wako.View attachment 3191984
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha,
Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila kama ni Uchaguzi umeshakwisha 90%
Soma pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
VOX POPULI, VOX DEI
Ni kwamba hakuna mtanzania mshamba km mchaga, mchaga ni washamba sn ht asome vpNasikia huwa hakuna mchaga mshamba, FAM ataangushwa kishamba hivi na uzoefu alionao? Sidhani.