ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,299
Mnataka kuacha mavi kwenye masuhuka ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee sasa hawa mabinti wa siku hizi wanaopelekwa kwa mpalange na wengine halafu wanakuja olewa na wengine, hv huko kwenye ndoa inakuajewanasema ukishamwagia shahawa kwenye Duburi lake zinabadilika kuwa bacteria ambao watamnyevua muda wote so anarudia tena na tena
Ni katazo linahusisha hata wanawake. Yaani hairuhusiwi kulala chumba kimoja watu wa jinsi moja. Ila cha ajabu kuna guest, lodge au hotel zingine zina vyumba vyenye vitanda viwili. Hapo kulala watu watu wa jinsia moja ni ruksa. Sasa sijui akili zao zinawazaga niniNi la wanaume tu ndo nashangaa.
Unabana matumizi kwa kulala na wanaume wenzio? Huu ni ishoga, kama unataka kubana matumizi so ulale stendi?Ni Jumatatu tulivu tenaaa
Hivi hili katazo ambalo tunakutana nalo kwenye nyumba za kulala wageni iwe lodge, guest au hotel ya kuwa hawaruhusiwi kulala wanaume wawili limekaaje wandugu? Au limezingatia nini hasa hadi kuwekwa maana ka wengine naona sio sawa kabisa wengine tuna safari tunafikia sehemu na bajeti inabana kweli tuchukue room 2 kulala masaa kadhaa tu tuendelee na safari zetu.
Sijajua ni katazo la kiserikali yani kuna hiyo sheria au ni maamuzi tu ya wenye hizo biashara hebu wanaojua watujuze, na kama ishu ni ushoga hahah mbona wanawake wanalala au wao hawahofiwi kuwa wasagaji?
Sababu ni kwamba, mnapoingia jinsia mbili tofauti mnachukuliwa kama mtu na mkewe (familia), hata kama sio hivo,Ni Jumatatu tulivu tenaaa
Hivi hili katazo ambalo tunakutana nalo kwenye nyumba za kulala wageni iwe lodge, guest au hotel ya kuwa hawaruhusiwi kulala wanaume wawili limekaaje wandugu? Au limezingatia nini hasa hadi kuwekwa maana ka wengine naona sio sawa kabisa wengine tuna safari tunafikia sehemu na bajeti inabana kweli tuchukue room 2 kulala masaa kadhaa tu tuendelee na safari zetu.
Sijajua ni katazo la kiserikali yani kuna hiyo sheria au ni maamuzi tu ya wenye hizo biashara hebu wanaojua watujuze, na kama ishu ni ushoga hahah mbona wanawake wanalala au wao hawahofiwi kuwa wasagaji?
Ila inasemekana sio video yakeKabwili anapumuliwa mkuu... Amepigwa nao akarekodiwa live...connection ipo mtaani. Soon tutaipata
Wanakataza pia.Je wadada nao wana katazwa kulala wa wili wawili ?/kama katazo hili lina wa exclude wadada basi huu ni unyanyasaji wa kijinsia
Mnaweza kulala chumba kimoja lakini vitanda tofauti.hii iko sawa kabisa, midume miwili mtalalaje chumba kimoja....kila kidume kilale chumba chake.....safi sana hii..
Walale huko walipotoka tu.Watu wametoka huko mpaka kufika hapo, hawajui usalama wao!?
Kama kuna katazo la aina hiyo basi ni kwa ajili ya biashara. Unapopanga chumba kimoja unalipia huduma ya mtu mmoja hivyo akiongezeka mwengine basi inatakiwa alipe. Kumbuka huduma siyo kulala tu. Kuna matumizi ya maji, vyoo nk. Labda mtu anaweza kuuliza, mbona mwanamme akienda na mwanamke hawakatazi? Jibu ni kuwa uzoefu unaonyesha wateja wanaolala nyuma za wageni wengi sababu kubwa huwa wanawake. Hivyo basi kukataza mtu kulala na mwanamke ingekuwa ni kama kuua biashara.Binafsi naona hili katazo ni unyanyasaji kwenye maisha ya utafutaji....sheria zingine wananchi wawe wanahusishwa kikamilifu zinapotungwa.
Umelisema la wanaume tu, je mwanaume kuingia na wanawake wawili chumba kimoja?Ni Jumatatu tulivu tenaaa
Hivi hili katazo ambalo tunakutana nalo kwenye nyumba za kulala wageni iwe lodge, guest au hotel ya kuwa hawaruhusiwi kulala wanaume wawili limekaaje wandugu? Au limezingatia nini hasa hadi kuwekwa maana ka wengine naona sio sawa kabisa wengine tuna safari tunafikia sehemu na bajeti inabana kweli tuchukue room 2 kulala masaa kadhaa tu tuendelee na safari zetu.
Sijajua ni katazo la kiserikali yani kuna hiyo sheria au ni maamuzi tu ya wenye hizo biashara hebu wanaojua watujuze, na kama ishu ni ushoga hahah mbona wanawake wanalala au wao hawahofiwi kuwa wasagaji?
Hujui kuwa unapochukuwa chumba unalipia huduma zaidi ya kulala?Binafsi naona hili katazo ni unyanyasaji kwenye maisha ya utafutaji....sheria zingine wananchi wawe wanahusishwa kikamilifu zinapotungwa.
mtamaliza vizazi,msagaji ana uwezo wa kubeba mimba ila shoga aliyekubuhu hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba.
Tulieni tu wanalinda vizazi vijavyo