samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Mnaweza kulala chumba kimoja lakini vitanda tofauti.
Hizi room ndio zinaitwa double na mnaokowa gharama, kuchukuwa double si sawa na gharama ya vyumba viwili.
Kulala kitsnda kimoja wanaume ni umadkini tu lakini siyo powa kabisa.
Jitu lingine limezoea kulala na mwanamke usishangae usiku bila yeye kukusudia likakukumbati likadhani yupo na demu.
Na kwa watoto ni hatari ukipata mgeni nyumbani usimlaze na mtoto wako wa kiume ni bora umchukulie chumba gesti ya jirani maana kuna watoto wameanzishwa ushoga kwa style hii ya kulazwa kitanda kimoja na dume lililobarehe.
binafsi hata kuwe na vitanda double, kila mtu alale kivyake.... kama hakuna option nitalala na jeans boxer ndani kudadeki....
unaweza kukuta umeshakojolewa halafu ukaombwa samahani hahahaha