Kathrin Steinbrenner, Naibu Balozi wa Ujerumani kamwambia Mbowe ‘Never Give Up’

Kathrin Steinbrenner, Naibu Balozi wa Ujerumani kamwambia Mbowe ‘Never Give Up’

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up".

Ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.

Freeman Aikaeli Mbowe anakwenda kuwa Nelson Mandela baada ya kesi hii kuisha na kusababisha Tanzania mpya isiyo ya kiubaguzi wa vyama, uchaguzi huru na wa haki, Uhuru na Maendeleo ya watu yote haya kupitia Katiba mpya.
 
Wakati hayo yakiendelea, wajumbe wa CCm kama kawaida na mambo yao ya hovyo

“Pili Kasingizia mimba kwa wanaume wawili, Dreva wangu anatoa matumizi, na huyo Mumewe ( Mwenyekiti) naye anatoa matumzi
nawaambieni huyo Pili(Mke wa Diwali)hajitambui ni mpumbavu tu kazi kutembea na wanaumee na kuzalishwa”Prof Muhongo kwenye kikao cha almashauri Musoma https://t.co/zKuglir5mX
 
Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up". ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.

Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo balozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.
 
Mungu wabariki Wazungu
Add_caption.!(1).jpg
 
kwani hao wajerumani ndio mahakama?

wenzake wanamchora tu awajui mabeberu!
Bora mabeberu weupe kuliko mabeberu meusi yaliojazana bungeni,serikalini,jeshini,polisi,
Kitu kama Ndugai,Mwigulu,Yana uzuri gani kuliko mabeberu wazungu,
Wazee wangu walisoma middle school ya kibeberu,lakini ilikuwa Elimu poa iliyowasaidia kuwa na ukwasi wakiwa vijana wadogo sana,uwezi kulinganisha na Elimu tunayopewa sasa hv na mibeberu myeusi kama ngozi ya Tako,kitu lina PHD,linaulizwa maswali badala ya kujibu hoja,linasema "wewe nisikilize Mimi Dokta wa uchumi"Hilo ndio jibu la msomi
 
Wakati hayo yakiendelea, wajumbe wa CCm kama kawaida na mambo yao ya hovyo

“Pili Kasingizia mimba kwa wanaume wawili, Dreva wangu anatoa matumizi, na huyo Mumewe ( Mwenyekiti) naye anatoa matumzi
nawaambieni huyo Pili(Mke wa Diwali)hajitambui ni mpumbavu tu kazi kutembea na wanaumee na kuzalishwa”Prof Muhongo kwenye kikao cha almashauri Musoma https://t.co/zKuglir5mX
Hao ndio CCM ukifanya uchafu unasema sio machadema viongozi wote wa kiume walikuwa wanazini na wabunge wa viti maalum tena wengi ni wake za watu uliona mwana saccos yeyote aliekemea ndio unajua kila uchafu uko chadema uzinzi ugaidi
 
Bora mabeberu weupe kuliko mabeberu meusi yaliojazana bungeni,serikalini,jeshini,polisi,
Kitu kama Ndugai,Mwigulu,Yana uzuri gani kuliko mabeberu wazungu,
Wazee wangu walisoma middle school ya kibeberu,lakini ilikuwa Elimu poa iliyowasaidia kuwa na ukwasi wakiwa vijana wadogo sana,uwezi kulinganisha na Elimu tunayopewa sasa hv na mibeberu myeusi kama ngozi ya Tako,kitu lina PHD,linaulizwa maswali badala ya kujibu hoja,linasema "wewe nisikilize Mimi Dokta wa uchumi"Hilo ndio jibu la msomi
Umeulizwa huyo dada mjerumani ndio mahakama huna hoja hivi huko mtaa wa ufipa hawafundishi kujibu hoja aibu hii[emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom