Kathrin Steinbrenner, Naibu Balozi wa Ujerumani kamwambia Mbowe ‘Never Give Up’

Kathrin Steinbrenner, Naibu Balozi wa Ujerumani kamwambia Mbowe ‘Never Give Up’

Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up". ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.
View attachment 1959863
In order to foster the political and interreligious dialouge we cooperate closely with several political and civil organisations and partners. One of these is the centrist party CHADEMA (CHADEMA – Chama Cha Demokrasia na Maendeleo), which is the biggest opposition party in parliament and a member of the 'International Democratic Union' (IDU) and the 'Democratic Union Africa' (DUA). By strengthening these cooperations and processes, KAS contributes to the local and national democratic development in Tanzania.
 
Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.
me na waswas na uelewa wako kbsa

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Umeulizwa huyo dada mjerumani ndio mahakama huna hoja hivi huko mtaa wa ufipa hawafundishi kujibu hoja aibu hii[emoji23][emoji1787]
Kwani mahakama ni Lumumba? Mwenye hoja utakuwa wewe?
 
Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.
Wanafanya hapa kea sababu Mbowe siyo gaidi,ila hao wengine uliowataja wanaweza kuwa
 
Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.

Mwerevu utakuwa wewe mjumbe?

IMG_20210930_170832_807.jpg
 
Laki sita inafadhiri vipi ugaidi? Al-Shabaab watakuwa wanatudharau sana huko walipo
 
Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.
Magaidi wa kiarabu USA walikuwa ni magaidi wa ukweli, walilipua ubalozi wa Marekani Tanzania, Kenya na kuporomosha magorofa Marekani kwa kutumia ndege,kabla ya kung'olewa na vifaru,mizinga na ndege za kijeshi kwa gharama kubwa waliko kuwa wamejichimbia pamoja Osama wao.

Siyo kama ugaidi wa Mbowe uliotengenezwa Ikulu na Magufuli pamoja na Samia kwa kushirikiana na akina Sabaya.

Ugaidi wenu ni wa kukutwa na pistol wakati pistol zinaruhusiwa kumilikiwa,mnakamata walinzi na kuwaita magaidi wakati kuwa na walinzi siyo kosa, eti mlichelewa kumkamata Mbowe kwa kuwa alikuwa Dubai mpaka mkasubiri arudi nchini,alipoanza kongamano la katiba ndiomkamkamata halafu mnamuita Mbowe gaidi labda gaidi anaegaidi ulaji wa Lumumba.
 
Bila mabeberu hakuna Tanzania ndugu. Ndiyo maana maushungi kila hotuba anayapigia magoti mabeberu. Mara chanjo, mara misaada, mara madawa, n.k
Ndiyo ukweli wenyewe,
Hata Mataga yanajuaila yanashupaza shingo kwa kulinda matumbo yao
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Yaani
Labda huyo naibu balozi atatoa Hukumu yeye badala ya jaji Aliekuwepo vituko haviishi mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]
hata kumuambia mtu never give up tayari ni hukumu jamani?Hi kesi si ndo mwenyekiti wa ccm alisema watu watatu tayari wameshahukumiwa katika interview na salim kikeke na akasema mbowe alikimbilia dubai kujificha?
 
Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up". ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.
View attachment 1959863
Kuambiwa "never give up" - maana yake ni kusema "najua kesi utashindwa na imekushika pabaya lakini usikate tamaa, - ndiyo, utafungwa lakini usikate tamaa! Never give up. - ni sisi mabeberu tuliokuingiza mkenge lakini never give up, we shall see how to compensate you on that, never give up!
Kwa hiyo, Msifurahie hayo maneno! Yana maana nyingi!
 
Dah! hiyo ni tafsiri yako kwa matamanio yako.
 
Freeman Aikaeli Mbowe anakwenda kuwa Nelson Mandela baada ya kesi hii kuisha na kusababisha Tanzania mpya isiyo ya kiubaguzi wa vyama, uchaguzi huru na wa haki, Uhuru na Maendeleo ya watu yote haya kupitia Katiba mpya.
Unamaanisha DJ atagongewa mkewe wakat yupo gerezan???
 
Back
Top Bottom