Akikujib nitagkwani hao wajerumani ndio mahakama?
wenzake wanamchora tu awajui mabeberu!
Kwani kusema never give up ndio kuwa mahakama au hakimu., uvccm mnafeli wapi?kwani hao wajerumani ndio mahakama?
wenzake wanamchora tu awajui mabeberu!
Unajua maana ya never give up.Labda huyo naibu balozi atatoa Hukumu yeye badala ya jaji Aliekuwepo vituko haviishi mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]
Bila mabeberu hakuna Tanzania ndugu. Ndiyo maana maushungi kila hotuba anayapigia magoti mabeberu. Mara chanjo, mara misaada, mara madawa, n.kwenzake wanamchora tu awajui mabeberu
Umeelewa kilicho andikwa ?Unaongozwa na umalaya wa kisiasa tu.Kuna sehemu imeoneshwa kuwa kuongea nao kutaleta matokeo gani?kwani hao wajerumani ndio mahakama?
wenzake wanamchora tu awajui mabeberu!
Na wewe naye kilaza !Una support usicho kijua punguza mihemukoAkikujib nitag
Migaamboo mnaruka na kukanyaganaa [emoji126][emoji1739]Akikujib nitag
Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo balozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up". ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.
Mungu wabariki Wazungu
Bora mabeberu weupe kuliko mabeberu meusi yaliojazana bungeni,serikalini,jeshini,polisi,kwani hao wajerumani ndio mahakama?
wenzake wanamchora tu awajui mabeberu!
Hao ndio CCM ukifanya uchafu unasema sio machadema viongozi wote wa kiume walikuwa wanazini na wabunge wa viti maalum tena wengi ni wake za watu uliona mwana saccos yeyote aliekemea ndio unajua kila uchafu uko chadema uzinzi ugaidiWakati hayo yakiendelea, wajumbe wa CCm kama kawaida na mambo yao ya hovyo
“Pili Kasingizia mimba kwa wanaume wawili, Dreva wangu anatoa matumizi, na huyo Mumewe ( Mwenyekiti) naye anatoa matumzi
nawaambieni huyo Pili(Mke wa Diwali)hajitambui ni mpumbavu tu kazi kutembea na wanaumee na kuzalishwa”Prof Muhongo kwenye kikao cha almashauri Musoma https://t.co/zKuglir5mX
Umeulizwa huyo dada mjerumani ndio mahakama huna hoja hivi huko mtaa wa ufipa hawafundishi kujibu hoja aibu hii[emoji23][emoji1787]Bora mabeberu weupe kuliko mabeberu meusi yaliojazana bungeni,serikalini,jeshini,polisi,
Kitu kama Ndugai,Mwigulu,Yana uzuri gani kuliko mabeberu wazungu,
Wazee wangu walisoma middle school ya kibeberu,lakini ilikuwa Elimu poa iliyowasaidia kuwa na ukwasi wakiwa vijana wadogo sana,uwezi kulinganisha na Elimu tunayopewa sasa hv na mibeberu myeusi kama ngozi ya Tako,kitu lina PHD,linaulizwa maswali badala ya kujibu hoja,linasema "wewe nisikilize Mimi Dokta wa uchumi"Hilo ndio jibu la msomi