Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Halaf baba yake anachekesha sana alivofanya makosa shulen likizo akamtumia laki tatu akamuambia usirudi nyumbani na aolewa unichonganishe na mke wangu utanitambua [emoji23][emoji23][emoji2301] nilicheka halag Analyse ye alikuwa ana hamu arudi home apumzike [emoji23][emoji23][emoji23]
Pale jimama lake alipo enda kwao kupeleka mtoto panachekesha sana 😅😅😅
 
[emoji23] Sikusagii kunguni ila ndio ukweli me nikisoma tu unavyojibu nacheka tu nasema huyu sijui kama nitamwita hata kwa bahati mbaya Gily akikuita tu unamjibu nitarudi baadae
Huwa narudi uwe unaniita ntakupa zawadi 😊
 
Back
Top Bottom