Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kuna nyingine mpya ilikuwepo mpaka imeisha Madame President nenda kaisomeUnanisagia kunguni sio [emoji28]
Mniite tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nyingine mpya ilikuwepo mpaka imeisha Madame President nenda kaisomeUnanisagia kunguni sio [emoji28]
Mniite tu
Ahsante nitarudi madam presdaa 😁Kuna nyingine mpya ilikuwepo mpaka imeisha Madame President nenda kaisome
Kuna nyingine mpya ilikuwepo mpaka imeisha Madame President nenda kaisome
[emoji23] Sikusagii kunguni ila ndio ukweli me nikisoma tu unavyojibu nacheka tu nasema huyu sijui kama nitamwita hata kwa bahati mbaya Gily akikuita tu unamjibu nitarudi baadaeShunie ananisagia kunguni. Napenda story nzuri ila mda wangu wa kukomaa nazo ni usiku mnene ndio maana huwa naweka alama.
Pale jimama lake alipo enda kwao kupeleka mtoto panachekesha sana 😅😅😅Halaf baba yake anachekesha sana alivofanya makosa shulen likizo akamtumia laki tatu akamuambia usirudi nyumbani na aolewa unichonganishe na mke wangu utanitambua [emoji23][emoji23][emoji2301] nilicheka halag Analyse ye alikuwa ana hamu arudi home apumzike [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] Kisingizio chake ngoja zijae naogopa arosto nitarudi na harudiShunie anasema kila akikutag, unasema utarudi alaf hurudi [emoji28][emoji28][emoji28]
Huwa narudi uwe unaniita ntakupa zawadi 😊[emoji23] Sikusagii kunguni ila ndio ukweli me nikisoma tu unavyojibu nacheka tu nasema huyu sijui kama nitamwita hata kwa bahati mbaya Gily akikuita tu unamjibu nitarudi baadae
Kule kwenye Uzi wa selfika, pekua pekua utakuta picha zangu kama mbili hivi😅😅😅Yaani hata nikuweke kundi gani la mtoto mtukutu au mkorofi wa enzi hizo 🤨😀😀
Huwa narudi[emoji23] Kisingizio chake ngoja zijae naogopa arosto nitarudi na harudi
Kajitahidi sana CK labda ndio mwanzo anatuchota chota baadae atuachie arosto hata Steve mwanzo alikua hivyohivyoKajitahidi kwa siku anaweza rusha hata tatu
Zawadi gani hiyo utakayonipa etiHuwa narudi uwe unaniita ntakupa zawadi [emoji4]
Wait nijipange upya sasa. Nije kwa kishindo 😅😅😅Hata sijui naogopa au vipi [emoji23] niambie tu
Mpaka aje kurudi, ameshasahau alipoishia 😅😅[emoji23] Kisingizio chake ngoja zijae naogopa arosto nitarudi na harudi
Huu mtihani unanipa kwa kweli mimi mvivu sana sitaweza kusoma comments na kuangalia picha mpaka niipate yakoKule kwenye Uzi wa selfika, pekua pekua utakuta picha zangu kama mbili hivi😅😅😅
Sapraaaaizi, si huwa mnapenda. We niite tu one day utakutana nayoZawadi gani hiyo utakayonipa eti
Sio story zako mkuuMpaka aje kurudi, ameshasahau alipoishia 😅😅
Steve ana story nzuri sana ila kuchelewesha sasa mpaka unakinaiKajitahidi sana CK labda ndio mwanzo anatuchota chota baadae atuachie arosto hata Steve mwanzo alikua hivyohivyo
Nitakutag next time 😅😅Huu mtihani unanipa kwa kweli mimi mvivu sana sitaweza kusoma comments na kuangalia picha mpaka niipate yako
Huyo ndio ananifanya ningoje ziwe zinaisha kwanzaSteve ana story nzuri sana ila kuchelewesha sasa mpaka unakinai
Alipata emergency nadhani. Alisema kitu kama hichoSteve ana story nzuri sana ila kuchelewesha sasa mpaka unakinai