Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Inakuwaje wanaJamiiForums

Kutoa appreciation ni jambo zuri hususa kwa yule mtu ambae amejitolea kutoa simulizi bila ya malipo yoyote lengo tujifunze, tuburudike, tuonyeke na vinginevyo

Haya masuala ya tunzo naamini kwao sio lengo kwao hasa ukizingatia yameanza juzi tu

Kama wew ni mtu wa kufuatilia mikasa huwezi kukosa kuwajua watu hawa Analyse na UMUGHAKA

Naweza sema hawa jamaa kwasasa ndio best story teller haijalishi iwe uhalisia ama sio ila uandishi wao, namna ya kuhadithia, upangiliaji wa matukio unaona kabisa kuna upekee ndani yao, inafika hatua hadi watu wanakuwa na addiction na story zao[emoji23][emoji23]

Wote ni wakali ila yupi ni mkali zaidi kwa upande wako?
Wanawake mna shida sana. Huo muda mnapata wapi?
 
Kuhani wa Hekalu jeusi RobertYohana mbatizaji alafu hao wengine wafuatie
 
Inakuwaje wanaJamiiForums

Kutoa appreciation ni jambo zuri hususa kwa yule mtu ambae amejitolea kutoa simulizi bila ya malipo yoyote lengo tujifunze, tuburudike, tuonyeke na vinginevyo

Haya masuala ya tunzo naamini kwao sio lengo kwao hasa ukizingatia yameanza juzi tu

Kama wew ni mtu wa kufuatilia mikasa huwezi kukosa kuwajua watu hawa Analyse na UMUGHAKA

Naweza sema hawa jamaa kwasasa ndio best story teller haijalishi iwe uhalisia ama sio ila uandishi wao, namna ya kuhadithia, upangiliaji wa matukio unaona kabisa kuna upekee ndani yao, inafika hatua hadi watu wanakuwa na addiction na story zao[emoji23][emoji23]

Wote ni wakali ila yupi ni mkali zaidi kwa upande wako?
UMUGHAKA ni fire
 
Back
Top Bottom