Fafanua mwenyewe kwanza , kutoa Nini na kupokea nini!??Naomba mnifafanulie watu wa Nguvu
Nakazia.Inategemea
Anayetoa anatoa nini na anayepokea anapokea nini
Muafrika ni mbuzi anayeongea.
Mkunwa na mkunaji ni nani huona raha mjukuuDuuh hii mada, afu usiku sahivi. Sijui hata nawaza nn, Lol
😂😂😂😂😂
Duuh hii mada, afu usiku sahivi. Sijui hata nawaza nn, Lol
😂😂😂😂😂
Hatariii 😂😂😂Yaaaniiii!!
Inategemea kila mtu kwa nafasi yake.Mkunwa na mkunaji ni nani huona raha mjukuu