Kati ya anayetoa na anayepokea nani ana Nguvu zaidi, Anayetoa au Anayepokea?

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Naomba mnifafanulie watu wa Nguvu
 
Kutoa na kupokea Nini? Rushwa, sadaka, msaada ,mahubiri au mimba? Funguka ujibiwe
 
Anayetoa anatumia nguvu sana.

Mpe mtu MILIONI MOJA bure ndio utajua nani anatumia nguvu kati ya mtoaji na mpokeaji.
 
Mkunwa na mkunaji ni nani huona raha mjukuu
Inategemea kila mtu kwa nafasi yake.
Ila wenye majibu sahihi kwa hili, ni GAYS, role ya VERSATILE.
ndo wanajua kila kitu kuhusu raha ya kukuna na kukunwaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…