Kivipi mkuu, ushawahi ona mtoto anaitwa ubin wa mama??Nadhani wote ni wamiliki ila mmiliki halali ni mama maana ndo anaejua ukweli kuhusu mtoto na baba wa mtoto
Hapana mkuu fikiria tena ujeKWA MTAZAMO WANGU HAKUNA MTU ANAWEZA KUMMILIKI MTOTO ILE SIO BIDHAA AU MALI, ILA WAZAZI WANAKUWA KAMA WAMEPEWA JUKUMU LA KUMLINDA NA KUMUONGOZA HADI ATAKAPOJITAMBUA NA KUANZA KUJITEGEMEA
kivipi mkuu, ushawahi ona mtoto anaitwa ubin wa mama??
Tupe nondo mkuukasome biology majibu yapo wazi
Kwa nini asiwe mama anaeshare vingi kuanzia yai, anavuta pumzi moja na mtoto mda wote awapo tumboni, anamlisha chakula awapo tumboni na hata baada yakumzaa then hata malezi sehem kubwa ni mama??Binti akipata mimba wanamuuliza hio mimba ni ya nani!!
Mtoto ni wa mwanaume siku zote
Kivipi mkuu.Mama.
Kuna makabila ambayo mama ndiye mwenye familia, ambapo watoto ni wa ujombani.ahsante bt mkuu hata wewe hata wewe ukiulizwa kwenu wapi utasema ubabani na si umamani hapo huoni baba umempa haki ya umiliki?
rejea hata maandiko yanampa umiliki baba maana yanaeleza uzao kwa kufuata mlolongo wa majina ya ubabaniKuna makabila ambayo mama ndiye mwenye familia, ambapo watoto ni wa ujombani.
Huo ni utaratibu tuliojiwekea tu.
Kumbuka, mtoto akishaziwa wazazi mna jukumu la kulea tu. Mtoto "anamilikiwa" na Jamhuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubin sio tatizo mkuu we baba una uhakika gani kama mtoto ni wakoKivipi mkuu, ushawahi ona mtoto anaitwa ubin wa mama??