Kati ya baba na mama ni yupi mmiliki halali wa mtoto?

Kati ya baba na mama ni yupi mmiliki halali wa mtoto?

Kuna makabila ambayo mama ndiye mwenye familia, ambapo watoto ni wa ujombani.

Huo ni utaratibu tuliojiwekea tu.

Kumbuka, mtoto akishaziwa wazazi mna jukumu la kulea tu. Mtoto "anamilikiwa" na Jamhuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii tamaduni ipo lindi na mtwara, baba hawana sauti kwa watoto wake na hawajibiki ipasavyo kwasababu tu watoto ni waupande wa mwanamke, imechangia sana kuharibu maadili hasa ya watoto wa kike.
 
KWA MTAZAMO WANGU HAKUNA MTU ANAWEZA KUMMILIKI MTOTO ILE SIO BIDHAA AU MALI, ILA WAZAZI WANAKUWA KAMA WAMEPEWA JUKUMU LA KUMLINDA NA KUMUONGOZA HADI ATAKAPOJITAMBUA NA KUANZA KUJITEGEMEA
Mtoto MALI YA SERIKALI aka JAMHURI ,Wazazi wamepewa Jukumu la kumlea tu.
 
Bado haiondoi maana ya swali, Kama sio baba Mimi bas baba mwengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu kwa akili ya juu sana. Mtoto ni umiliki wa mbegu kutoka kwa me na ke hivyo wote wana share zao kwenye huyo mtoto. Ndio maana akizaliwa ukipima DNA ya wazazi wawili wote wanasomeka kwa mtoto.

Mama anaplay part kubwa sana kwenye uzazi wa mtoto lakini hiyo haimfanyi kuweza kupata mtoto peke yake bila mbegu ya baba na mbegu ya baba hiwezi kuzalisha mpk ikutane na ya mama. Wote wanashare sawa kwa mtoto kwenye kumuumba.
 
Write your reply...ukichukua kadi ya bank ukaingiza. kwenye ATM machine. ukabonyeza kiasi pesa ikatoka pesa ni za nan kati ya ATM machine au zako?
 
Back
Top Bottom