Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
Tafadhali rejea pia mila na tamaduni za mababu. (Patrilineal vs Matrilineal).rejea hata maandiko yanampa umiliki baba maana yanaeleza uzao kwa kufuata mlolongo wa majina ya ubabani
Bado haiondoi maana ya swali, Kama sio baba Mimi bas baba mwengine.Nadhani wote ni wamiliki ila mmiliki halali ni mama maana ndo anaejua ukweli kuhusu mtoto na baba wa mtoto
Na hii tamaduni ipo lindi na mtwara, baba hawana sauti kwa watoto wake na hawajibiki ipasavyo kwasababu tu watoto ni waupande wa mwanamke, imechangia sana kuharibu maadili hasa ya watoto wa kike.Kuna makabila ambayo mama ndiye mwenye familia, ambapo watoto ni wa ujombani.
Huo ni utaratibu tuliojiwekea tu.
Kumbuka, mtoto akishaziwa wazazi mna jukumu la kulea tu. Mtoto "anamilikiwa" na Jamhuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto MALI YA SERIKALI aka JAMHURI ,Wazazi wamepewa Jukumu la kumlea tu.KWA MTAZAMO WANGU HAKUNA MTU ANAWEZA KUMMILIKI MTOTO ILE SIO BIDHAA AU MALI, ILA WAZAZI WANAKUWA KAMA WAMEPEWA JUKUMU LA KUMLINDA NA KUMUONGOZA HADI ATAKAPOJITAMBUA NA KUANZA KUJITEGEMEA
Umeshawahi kusikia mtoto kabambikiwa mama?Kivipi mkuu.
hapanaUmeshawahi kusikia mtoto kabambikiwa mama?
je kabla ya serikali walikua mali ya nani?Wa serikali.
ikiwa mama kwanini tusiitwe kwa ubin wa mama na linapokuja swala la ukoo wako unataja wa baba na si mama?
Mama ndio anajua details zote kuhus mtoto, unaweza kutumia ubini wa baba na asiwe kwel mzazi wako wa kiume.ikiwa mama kwanini tusiitwe kwa ubin wa mama na linapokuja swala la ukoo wako unataja wa baba na si mama?
Umejibu kwa akili ya juu sana. Mtoto ni umiliki wa mbegu kutoka kwa me na ke hivyo wote wana share zao kwenye huyo mtoto. Ndio maana akizaliwa ukipima DNA ya wazazi wawili wote wanasomeka kwa mtoto.Bado haiondoi maana ya swali, Kama sio baba Mimi bas baba mwengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kujua details ni kitu kingine na umiliki pia kitu ni kingineMama ndio anajua details zote kuhus mtoto, unaweza kutumia ubini wa baba na asiwe kwel mzazi wako wa kiume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama pia n mmiliki mbna iko wazi ba,mkubwamkuu kujua details ni kitu kingine na umiliki pia kitu ni kingine
nilipenda ufafanuzi wa kina ili nikinaike