Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Una uhakika mama mara zote ndiye huwa anajua ukweli kuhusu baba wa mtoto?Nadhani wote ni wamiliki ila mmiliki halali ni mama maana ndo anaejua ukweli kuhusu mtoto na baba wa mtoto
Wote wanaumiliki sawa. ingawaje mama ni muhusika mkuu kwasababu ndie amehusika kwa kiasi kikubwa zaidi kufanikisha upatikanaji wake,baba ndie muwezeshaji. Zaidi, makubaliano kati yao yanaweza kumpa mmoja wao umiliki zaidi.
Natumai mmeamka salama wanajamvi.
Wakuu hili jambo la nani ni mmiliki halali wa mtoto kati ya baba na mama limekua likinitatiza sana hata nikaona vema kushare nanyi ili tulijadili kwa marefu na mapana...
Kwa mtizamo ulozoeleka tunajua baba ndo mmiliki wa mtoto but utata wangu huja kwa kujiuliza ikiwa fertilization hufanyika kwa kukutana yai la mwanamke na mbegu ya kiume, why mwanaume ndo awe mmiliki wa mtoto na si mwanamke ambae hu-play part kubwa katika process ya upatikanaji wa mtoto?
Karibuni tujadili kwa facts.
Matatizo ya lugha hayo, si uhalisia. Kuna kichwa mkuu urudi tena.
Binti akipata mimba wanamuuliza hio mimba ni ya nani!!
Mtoto ni wa mwanaume siku zote
wapo wengi wanatumia ubini wa mama.africa,asia,europe wapo wengi tuKivipi mkuu, ushawahi ona mtoto anaitwa ubin wa mama??
Msosi anaokula ni nguvu ya baba,mimba aliyobeba kawezeshwa na baba,huduma anazohitaji ni jukumu la baba,faraja na liwazo ni kazi ya baba. Mama yeye akishabeba kifurushi chake kamaliza..mambo mengine yote baada ya hapo ni baba..
Kwa nini asiwe mama anaeshare vingi kuanzia yai, anavuta pumzi moja na mtoto mda wote awapo tumboni, anamlisha chakula awapo tumboni na hata baada yakumzaa then hata malezi sehem kubwa ni mama??
Mwanamke na Mwanaume wote Wana haki sawa juu ya Mtoto, hayo mambo mengine ni mambo ya Imani, Mila na desturi zetu tunazozifuata na Kuziamini...Natumai mmeamka salama wanajamvi.
Wakuu hili jambo la nani ni mmiliki halali wa mtoto kati ya baba na mama limekua likinitatiza sana hata nikaona vema kushare nanyi ili tulijadili kwa marefu na mapana...
Kwa mtizamo ulozoeleka tunajua baba ndo mmiliki wa mtoto but utata wangu huja kwa kujiuliza ikiwa fertilization hufanyika kwa kukutana yai la mwanamke na mbegu ya kiume, why mwanaume ndo awe mmiliki wa mtoto na si mwanamke ambae hu-play part kubwa katika process ya upatikanaji wa mtoto?
Karibuni tujadili kwa facts.
Natumai mmeamka salama wanajamvi.
Wakuu hili jambo la nani ni mmiliki halali wa mtoto kati ya baba na mama limekua likinitatiza sana hata nikaona vema kushare nanyi ili tulijadili kwa marefu na mapana...
Kwa mtizamo ulozoeleka tunajua baba ndo mmiliki wa mtoto but utata wangu huja kwa kujiuliza ikiwa fertilization hufanyika kwa kukutana yai la mwanamke na mbegu ya kiume, why mwanaume ndo awe mmiliki wa mtoto na si mwanamke ambae hu-play part kubwa katika process ya upatikanaji wa mtoto?
Karibuni tujadili kwa facts.
Natumai mmeamka salama wanajamvi.
Wakuu hili jambo la nani ni mmiliki halali wa mtoto kati ya baba na mama limekua likinitatiza sana hata nikaona vema kushare nanyi ili tulijadili kwa marefu na mapana...
Kwa mtizamo ulozoeleka tunajua baba ndo mmiliki wa mtoto but utata wangu huja kwa kujiuliza ikiwa fertilization hufanyika kwa kukutana yai la mwanamke na mbegu ya kiume, why mwanaume ndo awe mmiliki wa mtoto na si mwanamke ambae hu-play part kubwa katika process ya upatikanaji wa mtoto?
Karibuni tujadili kwa facts.
Mkuu kisheria wote,but genetically inaamriwa na DNA,ukienda kwa waganga wa kienyeji wao hutaka jina la mzazi wa kike hapa utapata pichaNatumai mmeamka salama wanajamvi.
Wakuu hili jambo la nani ni mmiliki halali wa mtoto kati ya baba na mama limekua likinitatiza sana hata nikaona vema kushare nanyi ili tulijadili kwa marefu na mapana...
Kwa mtizamo ulozoeleka tunajua baba ndo mmiliki wa mtoto but utata wangu huja kwa kujiuliza ikiwa fertilization hufanyika kwa kukutana yai la mwanamke na mbegu ya kiume, why mwanaume ndo awe mmiliki wa mtoto na si mwanamke ambae hu-play part kubwa katika process ya upatikanaji wa mtoto?
Karibuni tujadili kwa facts.
Yule mama aliyeiba mtoto 🤣🤣Umeshawahi kusikia mtoto kabambikiwa mama?
Uko sahih 100%Kwa nini asiwe mama anaeshare vingi kuanzia yai, anavuta pumzi moja na mtoto mda wote awapo tumboni, anamlisha chakula awapo tumboni na hata baada yakumzaa then hata malezi sehem kubwa ni mama??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiruuuuuuuhNimemuuliza mke wangu hapa hilo swali akanijibu ni mama kwa sababu ndio the factory.
Nikamuuliza tena who owns the factory, akanijibu God.
Nikamuuliza position ya baba ni ipi akaniambia baba ni just a raw material[emoji23][emoji23]
Wanaume tuna kazi sana.
Unforgetable
mkeo ni akili kubwa mpende, mthamini na umlindeNimemuuliza mke wangu hapa hilo swali akanijibu ni mama kwa sababu ndio the factory.