Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Mamrekani anataka amani ya dunia,vilaza kama wewe huwezi ukaelewa.
Hiyo 'tweet' umeilewa lakini?! Nini kitafuatia endapo U.S akiruhusiwa kutia muguu wake hapo?
Na je? Akipeleka misaada ya kijeshi kumuunga 'general ' Abdel Fattah kwa mutazamo wako wewe, unadhani atakuwa ametatua huo mgogoro na kuleta amani?
Halafu anamuita mwenzio 'kilaza'
 
Al qaeda walikubali yule ni osama na alikufa ila unataka watu wakusikilize na kukuamin wewe
 
Silaha nyingi ni za mrussi sababu ni bei rahis ndo zinatumika afrika mfano AK 47
Zinatumika afrika kwa sababu ni bora zaidi.Mfano hiyo Ak 45
1.inachukua risasi nyingi.
2.Ni nyepesi sio nzito sana ukilinganisha na aina nyingine
3.Rahisi kuirepair na ni ngumu kujam au kuharibika kiurahisi
4.Iko njema kwenye mazingira yoyote mfano baridi ,mvua,joto etc
5.Pia ina range kubwa.
kwa hiyo
Inatumika sana sio kwa sababu ni cheep au bei chee ila ni bora zaidi kwenye combat.
 
Team Hemet tuko wapi!?
 
💪💪💪💪💪💪💪💪
 
kabisa mkuu , wengi humu wanataka kila baya walimtupie USA hata asipo stahili
 
acha uchizi sasa hv tunazungumzia SUDAN , huko unakotaja hapahusiki kwenye hii mada , jikite kwenye mada asee , kama huna hoja kukaa kimya pia ni maarifa
 
acha kuchanganya mafaili , mada inahusu SUDAN wewe unatupa stori hazihusiani , ndio maana afrika hatuez tatua matatizo yetu , tunajadili mada moja hatujafika muafaka , mwingine analeta mada nyingine ili kuivuruga ile ya kwanza , shenzyy kbithaa
 
kila siku tunawaambia nyiny wehu ndo mnafanya afrika migogoro haiishi , mnataka tuwakalie kimya waasisi wa migogoro waafrika wenzetu na mnataka tuwalaumu wanaotumia fursa ya ujinga wetu , jiulize kwann haya hayatokei S.Korea au N.korea au Singapole au China au Russia kwasabab hawaruhusu adui wa nje kupata fursa ya kuingia baina yao , sisi hapa ndo tunawakemea hao wanaotoa mwanya kwa mataifa ya nje kuja kujipenyeza baina yetu
 
jitungie uongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…