Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Hapa unajaribu ku_justify kitu gani labda!? Kwamba mwarabu alikuwa mtu poa sana kwa mswahili!? Au mwarabu hakuwahi kuhusika na biashara ovu ya watu waliofanywa watumwa.
 
mpaka sasa inaonekana Hemedti amemkalia juu general Burhan.Burhan ameamua kutumia ndege za mig kujaribu kuwatimua wapiganaji wa RSF kutoka kituo cha TV,makao makuu ya jeshi ya uwanja wa ndege na bado hajafanikiwa.
 
Hakuna aliyekuwa na upendo kwa mtu mweusi iwe mzungu au mwarabu.
Mwarabu alifanya kazi ya kuleta watumwa toka enterior hadi pwani na kuwauza kwa wazungu.
Mwarabu pia alipeleka watumwa wengi tu Arabuni unaambiwa therusi mbili ya watumwa walienda Arabuni.
Leo hii hawapo huko kwani wengi wao walihasiwa na kuuwawa kwa kuogopa watazalisha dada zao au kizazi chao kumezwa na weusi.
Na hadi Leo hii mtu mweusi kuoa mwarabu ni kaazi kweli kweli km sio haiwezekani.
Tofauti wazungu wao waliacha wazaliane ili kupunguza gharama za kuwafuata Afrika. pamoja na kuwa wengine waliwaweka kwenye ma zoo kwaajili ya utalii.
Blacks kwa watu weupe ni nyani tu, japo Kuna baadhi wameanza kustaarabika na kuona km nasi pia ni binadamu.
 
Hizo habari munafundishana kwenye nyumba zenu za ibada.Ukweli halisi unaonekana mitaani..Na kiuhakika suala la kuoana hakuna anayeweza kulazimisha kama anavyotaka yeye.Iwe ni kutaka kuoa mtu umpendae kwa lazima au kuzuia mtu wako asiolewe na unayemchukua.utaumwa bure. Kwa maana hiyo unalosema kwamba waarabu hawaolewi na watu weusi haliko mitaani.Liko kwenye mafunzo ya chuki zenu za muda mrefu.
 
Umeongea vyema lakini nahitaji ushahid wa hio therusi mbili na kuhasiwa kwa waafrica huko uarabuni ili wasizae.

Okay wanaume walihasiwa vip wanawake?
 
unajitahidi kuupinga ukweli ?
 
Hiki kitu umeandika hata mim naweza andika baada ya miaka history ikasema wazungu ndo walikua watumwa. Nimekuuliza Europe kuna france full of blacks. North America kuna USA full of black walifikaje kule? Nchi gani ya kiarabu inablack nifahamishe
mnatetea waarabu wakati wanawaona mbwa tu , hv unataka kusema yaliyoandikwa juu ya wazungu ni kwel ila yaliyoandikwa juu ya waarabh ndo sio kwel ? huon unavyo dhihirisha upeo mdogo
 
comment za huu uzi una vita Sudan cha mtoto. njia ileile ya vita nyingi Africa inahakisi kwenye michango ya mjadala huu chuki,ubaguzi na maslahi binafsi na hapo ndo vita inapoanzia.
 
Hiki kitu umeandika hata mim naweza andika baada ya miaka history ikasema wazungu ndo walikua watumwa. Nimekuuliza Europe kuna france full of blacks. North America kuna USA full of black walifikaje kule? Nchi gani ya kiarabu inablack nifahamishe
pia hujui kuwa waarab walifikaje Ujiji Kigoma ?kwann hawakukaa moro au dodoma au Singida ila walikaa Tabora na kigoma ? unahisi kipi kiliwavutia wao kukaa kwenye hayo maeneo yaliyokuwa vituo vikuu vya biashara ya utumwa kwa Tanzania bara , je Zanzibar wale waswahili walitokea wap ? nan aliwapeleka pale Zanzibar?
 
Waarabu walikuja kutawala acha uzezeta wewe na hata baada ya uhuru waliachiwa Zanzibar dec 1963 ila jan 1964 Karume akawapindua kwa msaada wa John Okello ( mganda) na aliwaua sana waarab mpk wakawa wanapaka masizi ili wasijulikane ( video ipo youtube ) , Usipende ubish wa kijinga , Hata enzi za utawala kwa huku bara ambapo walikuwa wachache walitumika kwenye vyeo vya awali / vidogo, Wakristu wengi wanajua wazungu wabaya ila waislam weng hamjui kuwa waarab wanawaona kama mbuz mnawatetea hata walipokosea ukwel , zipo story kibao za dada zetu kuuliwa huko uarabun wala hawajal kuhusu ngoz nyeusi uwe mwislam mwenzao au laah , hapo Sudan wanazuia mbantu kuoa mwarabu chotara na unaeza jikuta huna hata uhai
 
Hapa unajaribu ku_justify kitu gani labda!? Kwamba mwarabu alikuwa mtu poa sana kwa mswahili!? Au mwarabu hakuwahi kuhusika na biashara ovu ya watu waliofanywa watumwa.
huyo mpuuz hajui mpk leo waarabu wanatufanyia mabaya meng tu
 
unatetea ujinga wewe , na nyiny mnafanya tuonekane kama mbuz , wao wanaungana dhid yetu ila baina yetu zipo mbuz hazioni sudan tu waliunda janjaweed kuua wabantu bila kujali walikuwa waislm wenzao
 
Mungu huyu [emoji23][emoji23].Umeombwa evidence ya ulichosema unaleta bla bla
nlishaandika ukasema hata ww unaeza andika ila reference zenu ndo sisi hatuez andika bali ni za ukwel kbs
 
Umeongea vyema lakini nahitaji ushahid wa hio therusi mbili na kuhasiwa kwa waafrica huko uarabuni ili wasizae.

Okay wanaume walihasiwa vip wanawake?
nmeandika ushaid hapo juu , umepinga , sasa sijui unataka ushaidi gan labda jamaa akupe
 
Kwa sababu Tanzania haikuwa na mfumo wa ma settlers wa kizungu sio kwamba nchi nyingine za Africa wazungu hawakuhamia na kuishi kabisa, jaribu kujiongeza katika kufikiria kwako. Unauliza maswali uliyopaswa kuyajua ukiwa kidato cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…