Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Umeongea vyema lakini nahitaji ushahid wa hio therusi mbili na kuhasiwa kwa waafrica huko uarabuni ili wasizae.

Okay wanaume walihasiwa vip wanawake?
Hadi Leo mayaya wanaoenda Arabuni matukio wanayokutana nayo yapo wazi. Hata humu JF thread zipo nyingi tu kuhusu shida na tabu wanazokutana nazo wafanyakazi wa ndani Arabuni.
 
Hizo habari munafundishana kwenye nyumba zenu za ibada.Ukweli halisi unaonekana mitaani..Na kiuhakika suala la kuoana hakuna anayeweza kulazimisha kama anavyotaka yeye.Iwe ni kutaka kuoa mtu umpendae kwa lazima au kuzuia mtu wako asiolewe na unayemchukua.utaumwa bure. Kwa maana hiyo unalosema kwamba waarabu hawaolewi na watu weusi haliko mitaani.Liko kwenye mafunzo ya chuki zenu za muda mrefu.
Anayetaka kuoa Mwarabu aende Misri. Unakuja hata wake wawilio wa kiarabi kwa mpigo. wala hawana taabu cha msingi umpende binti wa watu.
 
mnatetea waarabu wakati wanawaona mbwa tu , hv unataka kusema yaliyoandikwa juu ya wazungu ni kwel ila yaliyoandikwa juu ya waarabh ndo sio kwel ? huon unavyo dhihirisha upeo mdogo
Yaliyozungumzwa na wazungu yameripotiwa na watu kama nyinyi.Ama kuhusu biashara ya Utumwa yule aliyetajwa sana na kuchorwa sura mbayo za kubuni kwa ajili ya kampeni yeye mwenyewe aliandika kitabu kupinga na kuonesha kuwa alikuwa ni mfanyabiasara tu na wala hakuwa akisafirisha watumwa.Huyu ni Hemed Almerjebi au tiputip. Kabla kifo chake aliandika kitabu kuwarudi akina Livingstone waliomzushia uwonogo chungu nzima na kumchora vibaya kinyume cha wema aliowafanyia kwa kuwaonesha njia za kufika Kongo na kwengine walikotaka waende.
 
pia hujui kuwa waarab walifikaje Ujiji Kigoma ?kwann hawakukaa moro au dodoma au Singida ila walikaa Tabora na kigoma ? unahisi kipi kiliwavutia wao kukaa kwenye hayo maeneo yaliyokuwa vituo vikuu vya biashara ya utumwa kwa Tanzania bara , je Zanzibar wale waswahili walitokea wap ? nan aliwapeleka pale Zanzibar?
Wew ni chizi warabu hawapo DODOMA, singida, Morogoro [emoji23]
 
Waarabu walikuja kutawala acha uzezeta wewe na hata baada ya uhuru waliachiwa Zanzibar dec 1963 ila jan 1964 Karume akawapindua kwa msaada wa John Okello ( mganda) na aliwaua sana waarab mpk wakawa wanapaka masizi ili wasijulikane ( video ipo youtube ) , Usipende ubish wa kijinga , Hata enzi za utawala kwa huku bara ambapo walikuwa wachache walitumika kwenye vyeo vya awali / vidogo, Wakristu wengi wanajua wazungu wabaya ila waislam weng hamjui kuwa waarab wanawaona kama mbuz mnawatetea hata walipokosea ukwel , zipo story kibao za dada zetu kuuliwa huko uarabun wala hawajal kuhusu ngoz nyeusi uwe mwislam mwenzao au laah , hapo Sudan wanazuia mbantu kuoa mwarabu chotara na unaeza jikuta huna hata uhai
SAS ni bora aliekuja kutawala au aliekuja kuwanyonya. Huko mashuleni mnasomea ujinga ama
 
Hapa unajaribu ku_justify kitu gani labda!? Kwamba mwarabu alikuwa mtu poa sana kwa mswahili!? Au mwarabu hakuwahi kuhusika na biashara ovu ya watu waliofanywa watumwa.
Soma vizur utaelewa. Pitia na post nyingine.
 
nlishaandika ukasema hata ww unaeza andika ila reference zenu ndo sisi hatuez andika bali ni za ukwel kbs
Lete evidence acha ujinga. Pia nmekuuliza wale blacks Europe walifikaje. Pia kwann utumwa ulishamili kipindi mapinduzi ya viwanda yalipotokea?

Waarabu walifany utumwa kwa mateka wa vita nenda kasome trans-Saharan slave trade japo sisemi utumwa ni sawa.
 
hakuna sehem mtu kakataa wazungu kutofanya biashara ya utumwa ila nyiny mnaowatetea waarab kuwa hawakufanya biashara nd tunawashangaa na nlikupa paragraph usome ukasema hata ww unaeza andika sasa unataka tuwe tunakujib mara mbili mbili ? si ndo ukilaza huo
 
SAS ni bora aliekuja kutawala au aliekuja kuwanyonya. Huko mashuleni mnasomea ujinga ama
mkuu unaonesha akili ndogo sana , kuna utawala wa jamii ngeni kwa wenyej bila unyonyaj ? unaonesha upumbav wa hali ya juu , haya mambo hufundishwi shulen yapo kwenye vitabu , sema huko madrasa wanawazuia kuhusu elimu dunia ili msijue mabaya ya mabwana zenu , uislam umeenezwa kwa upanga kote huko kwenye sudanic states hadi huku mashariki , ila ulivyo mpumbav unabisana na vitu vinaonekana , tusiende mbali hapo juz hao mabwana zenu walikuwa wanawauza utumwan
IMG_20230420_142724.jpg
 
mkuu unaonesha akili ndogo sana , kuna utawala wa jamii ngeni kwa wenyej bila unyonyaj ? unaonesha upumbav wa hali ya juu , haya mambo hufundishwi shulen yapo kwenye vitabu , sema huko madrasa wanawazuia kuhusu elimu dunia ili msijue mabaya ya mabwana zenu , uislam umeenezwa kwa upanga kote huko kwenye sudanic states hadi huku mashariki , ila ulivyo mpumbav unabisana na vitu vinaonekana , tusiende mbali hapo juz hao mabwana zenu walikuwa wanawauza utumwan View attachment 2594039
Akili zako ni za kipumbavu. Ulivomjinga unadhan uislam ni uarabu. Kwan wazungu hawakuja kutawala. Uko shule ulikua unalamba makamasi wenzio walivyokua wanafundishwa reasoning [emoji2369][emoji23].

Acha utaira kuna warabu ni waovu like ways wazungu wapo wema. When it comes kweny ukweli Europe wameiharibu Africa kuliko warabu.

Church involvement in the trans-Atlantic slave trade: its biblical antecedent vis-à-vis the society's attitude to wealth nenda kagoogle mweu wew [emoji23]

"In the colonisation of Virginia in North America by the British in the sixteenth and seventeenth centuries, the Church of England did little in terms of the conversion of the slaves since there were "ancient principles prohibiting Christians from holding fellow believers in slavery."In order to avoid such situations, the slave owners did not want their slaves baptised, which eventually led the church to enact a law in 1667, declaring that baptism did not change the status of a slave.This law did not make much impact on the conversion of the slaves. Some denominations remained indecisive on the issue."
 
Mchaw lugha

Lkn maelezo yako nimeyapenda[emoji41][emoji41][emoji41]
 
ana waambien ukwel kuna muda mnaropoka na hiz akili za kulopoka ndo chanzo cha migogoro Afrika , hatuish kwenye uhaisia bali tunais chini ya mwamvul wa mihemko tu , hapo Sudan upo mpk ushaidi kuwa China anawapiganisha na hajaanza leo tangu 2011 mpk silaha za China zilikamtwa huko uwanja wa vita Darfur ( kipind hicho ) , hata huu mgogoro huyo huyo China na wenzie ndo wauzaj wa silaha kwa waasi na magaidi wengi Afrika
Umekuwa mwafrika Sasa!!? Kumbe na wewe Ni MPUMBAVU.... Haya tuendelee kujadiliana MPUMBAVU MWENZANGU..... Maana ulirukaruka Sana kujibu....
 
Mapigano mengine makali ya wenyewe kwa wenyewe yameibuka nchini Sudan.Safari hii ni kati ya general Abdel Fattah al-Burhan ambaye ndiye kiongozi wa nchi hiyo kwa sasa na mkuu wa jeshi. Mpinzani wake ni general Mohamed Hamdan Dagalo maarufu kama Hemeti na ambaye ndiye naibu katika utawala wa sasa unaitwa wa mpito kuelekea utawala wa kiraia.
Majeneralji wote hawa walikuwa ni sehemu ya uongozi wa kijeshi wakati wa utawala wa rais Omar albashir.Katika maandamano yaliyopelekea kuondolewa madarakani kwa albashiri general Burhani alijionesha kama mtu aliyewaonea huruma sana wananchi na hata kutembelea maeneo waliyokuwa wamejikushanya jijini Khartoum na kutaniana nao.
Kwa upande wake general Hemet alikwishashutumiwa na taasisi za kimataifa kama mshiriki mkuu wa mauwaj yanayotajwa kutokea Darfur na yeye alitajwa kama kiongozi wa Janjaweed. Katika uongozi wa baada ya kuondoka kwa albashir ambapo Hamdoh alikuwa kiongozi wa kiraia katika serikali hiyo,majenerali hao walishirikiana vizuri jambo ambalo halikudumu kwa muda mrefu kabla ya kutokea kutofahamiana tena kila mmoja akiwa na wafuasi wake na ambapo Hamdoh aliwekwa pembeni hapo mwaka juzi 2021.
General Hemet amekuwa na jeshi lake linaloitwa RSF ambalo ni mwendelezo wa vikosi tangu enzi za Albashir vilivyotumika kuzima uasi maeneo mbali mbali ya nchi hiyo ikiwemo Darfur.General Burhani pamoja na kuwa ni kiongozi wa kijeshi tangu enzi za Albashiri kwa sasa ndiye mkuu wa jeshi la ulinzi na mkuu wa nchi kuelekea utawala wa kiraia.
Kipengele kinachotajwa kupelekea kutoelewana kwa majenerali hao kwa sasa ni namna ya kuviingiza vikosi vya RSF katika jeshi rasmi la nchi na muda wake.Wakati Hemet akitaka iwe ni kitendo kinachotakiwa kiendelee kwa muda mrefu hata miaka 10 ijayo kutoa fursa ya kuaminiana na kupata ufanisi.Kwa upande wake general Burha ametaka iwe ni jambo la kufanyika kwa haraka.
Mbali na kutajwa kuwa alihusika na mauwaji ya Darfur,general Hemeti kwa sasa anatajwa kupokea misaada ya kijeshi kutoka Urusi baada ya kuwafungulia njia katika uendeshaji wa migodi ya dhahabu ya nchi hiyo wakati mwenzake Burhani akitajwa kuwa na ushirikiano mkubwa na vyama vya kisjiasa vya mrengo wa kiislamu vilivyowahi kutawala nchini humo.
Hapo juzi kulionekana harakati kubwa za vikosi vya RSF za kuhamisha silaha kuelekea maeneo tofauti ya nchi karibu na jiji la Khartoumj kitendo kilichotajwa na ujpande wa Burhan kuwa kumefanyika bila ushirikiano wa kijeshi na jeshi lake.Siku iliyofuata hapo juzi vita kamili vilianza huku Hemeti akitangaza kushikilia ikulu na viwanja vya ndege na upande wa Burhani kukanusha huku ukitumia ndege za kuvita kushambulia maeneo kadhaa ya jiji hilo.
_129371206_239b828587d5bb938cca33d701bc2d4abca5108b0_230_5500_30921000x563.jpg

general Mohamed Dagalo (Hemeti)
15sudan-Abdel-Fattah-al-Burhan-articleLarge.jpg
Aiseh
 
Umekuwa mwafrika Sasa!!? Kumbe na wewe Ni MPUMBAVU.... Haya tuendelee kujadiliana MPUMBAVU MWENZANGU..... Maana ulirukaruka Sana kujibu....
wew huna akil wap nliandika mim sio mwafrika ? mkiitwa wapumbav badala mkirekebish mnaanza tafuta kampan ya wapumbav wenzenu
 
wew huna akil wap nliandika mim sio mwafrika ? mkiitwa wapumbav badala mkirekebish mnaanza tafuta kampan ya wapumbav wenzenu
Sio wewe uliyesema waafrika wapumbavu!!?? Ukabaki unarukaruka!!??
 
wew huna akil wap nliandika mim sio mwafrika ? mkiitwa wapumbav badala mkirekebish mnaanza tafuta kampan ya wapumbav wenzenu

wew huna akil wap nliandika mim sio mwafrika ? mkiitwa wapumbav badala mkirekebish mnaanza tafuta kampan ya wapumbav wenzenu

Utakuwa umesahau uliposema "waafrika wapumbavu"...
 
Back
Top Bottom