Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Hizi hoja ni za kuunga unga na wala hazina uhalisia. Tukubali tu kuwa Sudan iliamua kutumia eneo la Sudan kwa ajili ya kuchota mafuta bila kuliendeleza kwa makusudi. Al Bashir aliunda hilo kundi la Janjaweed kwa kusupress blacks.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Sudan ipo toka lini na hao janjaweed wapo toka lini?

Hio zone inaubaguzi sio kwa wasudan pekee mpaka south Sudan ubaguz ni mkubwa, somalia,mpka kenya ubaguz wa kikabila ni mkubwa.

Okay wametengana ni kitu gan south sudan wamepata zaid ya migogoro ya wao kwa wao. DIVIDE AND RULE

Akuna sehem sudan ilipendelewa zote ni za hovyo. Khartoum imeizid mwanza barabara na mpangilio wa mitaa tu zaid ya hapo haina Kifua mbele ya mwanza.

Nchi za kiarabu zinaujinga mwingi nimeishi kule najua. Sishangai kwanin mitume weng walitoka nchi za kiarabu.
 
Usisahau madalali wa hiyo biashara walikuwa Waarabu kwa sababu ndio waliotangulia kuingia kufanya biashara ya meno ya tembo bara kwenye vijiji vya Africa.

Katika biashara ya utumwa wao Waarabu ndio walikuwa madalali wa kukamata na kukusanya watumwa kutoka bara kuwaletea wazungu pwani katika meli zao.
Unaushahid waarabu walikua madalali
 
Sio madalali tu, walikuwa wanachukua watumwa wenyewe kwa kuanzia na kitovu cha biashara yao kwa Africa Mashariki kilikuwa Bagamoyo na Zanzibar.
Warabu wamekuja karne ya 17 wazungu karne ya 18 ila zao la mtu mweusi linaonekan nchi za ulaya kuliko arab,unasema warab ndo walibeba watumwa. Em tuelewesh kwa ushahid.
 
Mada za historia ya Utumwa zipo nyingi humu humu JF na inajulikana biashara ya Utumwa ni ya wazungu na ilifanywa kwa jina la Ukristo.Meli iliyobeba watumwa bahari ya Atlantic na kuleta faida sana ilipewa jina la Jesus. Biashara ya utumwa ilifanyika hasa Afrika Magharibi.Huku Afrika Mahsariki ilifanywa na wazungu pia na ndio baadae walipopata mashine wakajidai kuikomesha lakini wakajenga kanisha sehemu walipokuwa wakinunua watu pale mkunazini Zanzibar.
Nyinyi mnaomaliza darasa la saba hamuwezi kujua historia halisi ya nchi yetu.
UISLAM USIKUTIE UZEZETA HATUPO HAPA KUSIFIA MTU

The Indian Ocean slave trade, sometimes known as the East African slave trade or Arab slave trade, was multi-directional slave trade and has changed over time. Africans were sent as slaves to the Middle East, to Indian Ocean islands (including Madagascar), to the Indian subcontinent, and later to the Americas.[1][2]
 
Warabu wamekuja karne ya 17 wazungu karne ya 18 ila zao la mtu mweusi linaonekan nchi za ulaya kuliko arab,unasema warab ndo walibeba watumwa. Em tuelewesh kwa ushahid.
kwahiyo walikuwa wanawalipa ela wale vibarua wa mashamba ya karafuu kule zenji ? au unahisi wale wazenji weusi walikiwepo pale tangu awali ?

The East African slave trade flourished greatly from the second half of the nineteenth century when Said bin Sultan, an Oman Sultan, made Zanzibar his capital and expanded international commercial activities and plantation economy in cloves and coconuts. During this period demands for slaves grew drastically. The slaves were needed for local use mainly to work in plantations in Zanzibar and for export. Sultan Seyyid (seyyid is an Arabic title for Lord) Said made deliberate efforts to "revive old Arab-caravan trade" with mainland Africa which became major source of slaves.[
 
Unaushahid waarabu walikua madalali
MIAFRIKA NI MIJINGA SANA DAMU ZA BABU ZENU ZINAWAANGALIA TUMESLIMISHWA SASA HV MNAWATETA MADHARIMU

Wewe mpuuzi unaweza taja silaha zozote za kimarekani zinazotumika kwenye vita Africa hii ,? , Kuna nchi au kikundi cha uasi kinaweza nunua silaha za kimarekani Africa hii ?,hivi ninyi vichwa vyenu huwa vina kinyesi cha wapi ? ,Mbona huwa ni wapuuz hivyo ?
Ukosefu wa madini ya fedha hupelekea hasira za mara kwa mara
 
kwahiyo walikuwa wanawalipa ela wale vibarua wa mashamba ya karafuu kule zenji ? au unahisi wale wazenji weusi walikiwepo pale tangu awali ?

The East African slave trade flourished greatly from the second half of the nineteenth century when Said bin Sultan, an Oman Sultan, made Zanzibar his capital and expanded international commercial activities and plantation economy in cloves and coconuts. During this period demands for slaves grew drastically. The slaves were needed for local use mainly to work in plantations in Zanzibar and for export. Sultan Seyyid (seyyid is an Arabic title for Lord) Said made deliberate efforts to "revive old Arab-caravan trade" with mainland Africa which became major source of slaves.[
Sayyid Said kama ulivyosema hapo alikuwa mfanyabiashara na mkulima,Watu wa wakati ule walikuwa wanafanya kazi na kulipwa ujira wao kwa hali za wakati ule.Ni kama ilivyo sasa wafanyakazi wa serikalini na makampuni wanalipwa shilingi za kitanzania na kila siku wanasema hazitoshi.Jee wote ni watumwa hawa. Kutumia neno utumwa huwa ni uchafuzi wa historia na umeanza kwa wazungu kuwapakazia wengine kwa uovu walioufanya wao.
Kama tungezungumzia utumwa Kati ya dalali na tajiri katika biashara nani wa kulaumiwa.Tajiri wa biashara ya utumwa walikuwa akina John na wazungu wengine tena kwa jina la ukristo.Kama waarabu walishiriki hatua yoyote ile ilikuwa ni wale wa njaa jaa na hawakufanya kwa kuitaja dini yao ya uislamu kwa Uislamu unapinga utumwa.
Uchochezi na fitna za wazungu zimefanikiwa sana kutia watu mawazo na uadui mpaka wanapigana na kutengana kama walivyofanya huko Sudan.
 
Akina Marehemu Garang walikuwa hawajui wanachokipigania, sio ndio unachotaka kuaminisha watu hapa!?
 
Mapigano mengine makali ya wenyewe kwa wenyewe yameibuka nchini Sudan.Safari hii ni kati ya general Abdel Fattah al-Burhan ambaye ndiye kiongozi wa nchi hiyo kwa sasa na mkuu wa jeshi. Mpinzani wake ni general Mohamed Hamdan Dagalo maarufu kama Hemeti na ambaye ndiye naibu katika utawala wa sasa unaitwa wa mpito kuelekea utawala wa kiraia.
Majeneralji wote hawa walikuwa ni sehemu ya uongozi wa kijeshi wakati wa utawala wa rais Omar albashir.Katika maandamano yaliyopelekea kuondolewa madarakani kwa albashiri general Burhani alijionesha kama mtu aliyewaonea huruma sana wananchi na hata kutembelea maeneo waliyokuwa wamejikushanya jijini Khartoum na kutaniana nao.
Kwa upande wake general Hemet alikwishashutumiwa na taasisi za kimataifa kama mshiriki mkuu wa mauwaj yanayotajwa kutokea Darfur na yeye alitajwa kama kiongozi wa Janjaweed. Katika uongozi wa baada ya kuondoka kwa albashir ambapo Hamdoh alikuwa kiongozi wa kiraia katika serikali hiyo,majenerali hao walishirikiana vizuri jambo ambalo halikudumu kwa muda mrefu kabla ya kutokea kutofahamiana tena kila mmoja akiwa na wafuasi wake na ambapo Hamdoh aliwekwa pembeni hapo mwaka juzi 2021.
General Hemet amekuwa na jeshi lake linaloitwa RSF ambalo ni mwendelezo wa vikosi tangu enzi za Albashir vilivyotumika kuzima uasi maeneo mbali mbali ya nchi hiyo ikiwemo Darfur.General Burhani pamoja na kuwa ni kiongozi wa kijeshi tangu enzi za Albashiri kwa sasa ndiye mkuu wa jeshi la ulinzi na mkuu wa nchi kuelekea utawala wa kiraia.
Kipengele kinachotajwa kupelekea kutoelewana kwa majenerali hao kwa sasa ni namna ya kuviingiza vikosi vya RSF katika jeshi rasmi la nchi na muda wake.Wakati Hemet akitaka iwe ni kitendo kinachotakiwa kiendelee kwa muda mrefu hata miaka 10 ijayo kutoa fursa ya kuaminiana na kupata ufanisi.Kwa upande wake general Burha ametaka iwe ni jambo la kufanyika kwa haraka.
Mbali na kutajwa kuwa alihusika na mauwaji ya Darfur,general Hemeti kwa sasa anatajwa kupokea misaada ya kijeshi kutoka Urusi baada ya kuwafungulia njia katika uendeshaji wa migodi ya dhahabu ya nchi hiyo wakati mwenzake Burhani akitajwa kuwa na ushirikiano mkubwa na vyama vya kisjiasa vya mrengo wa kiislamu vilivyowahi kutawala nchini humo.
Hapo juzi kulionekana harakati kubwa za vikosi vya RSF za kuhamisha silaha kuelekea maeneo tofauti ya nchi karibu na jiji la Khartoumj kitendo kilichotajwa na ujpande wa Burhan kuwa kumefanyika bila ushirikiano wa kijeshi na jeshi lake.Siku iliyofuata hapo juzi vita kamili vilianza huku Hemeti akitangaza kushikilia ikulu na viwanja vya ndege na upande wa Burhani kukanusha huku ukitumia ndege za kuvita kushambulia maeneo kadhaa ya jiji hilo.
_129371206_239b828587d5bb938cca33d701bc2d4abca5108b0_230_5500_30921000x563.jpg

general Mohamed Dagalo (Hemeti)
15sudan-Abdel-Fattah-al-Burhan-articleLarge.jpg

general Abdulfatah AlBurahan
AP23105459336254.jpg
hiyo nchi inatakiwa imegwe. kwanza ni kubwa mno na wamewaonea sana wabantu kwa njia ya janjaweed.
 
kwahiyo walikuwa wanawalipa ela wale vibarua wa mashamba ya karafuu kule zenji ? au unahisi wale wazenji weusi walikiwepo pale tangu awali ?

The East African slave trade flourished greatly from the second half of the nineteenth century when Said bin Sultan, an Oman Sultan, made Zanzibar his capital and expanded international commercial activities and plantation economy in cloves and coconuts. During this period demands for slaves grew drastically. The slaves were needed for local use mainly to work in plantations in Zanzibar and for export. Sultan Seyyid (seyyid is an Arabic title for Lord) Said made deliberate efforts to "revive old Arab-caravan trade" with mainland Africa which became major source of slaves.[
Hiki kitu umeandika hata mim naweza andika baada ya miaka history ikasema wazungu ndo walikua watumwa. Nimekuuliza Europe kuna france full of blacks. North America kuna USA full of black walifikaje kule? Nchi gani ya kiarabu inablack nifahamishe
 
MIAFRIKA NI MIJINGA SANA DAMU ZA BABU ZENU ZINAWAANGALIA TUMESLIMISHWA SASA HV MNAWATETA MADHARIMU

The East African slave trade flourished greatly from the second half of the nineteenth century when Said bin Sultan, an Oman Sultan, made Zanzibar his capital and expanded international commercial activities and plantation economy in cloves and coconuts. During this period demands for slaves grew drastically. The slaves were needed for local use mainly to work in plantations in Zanzibar and for export. Sultan Seyyid (seyyid is an Arabic title for Lord) Said made deliberate efforts to "revive old Arab-caravan trade" with mainland Africa which became major source of slaves.[
Watu ni wajinga hii nchi sishangai unachosema. You can't even reasoning a bit.Waarab walikuja kuishi sio kuvuna rasilimimali look zanzibar, tabora, singida na mikoa yote waarabu ni weng ushawai ona jamii ya wazungu Tanzania?

Africa mkijitia kutomjua adui yenu sahih ni nan mafanikio mtayaona kweny TV.Nioneshe Arab country yenye full of blacks kama France na nchi nyingine za ulaya.Ushaona blacks urusi ama ni pabaya. Nchi zote zeny resource angalia kama kuna blacks weng. Arab na asia countries zinafull of resources kaangalie kama kuna blacks weng kule zaid ya wahamiaji. Look at Europe countries blacks walivyojaa,waarabu wapo toka karne ya 17 na karne ya 17 mwishon 18 mwanzon yalipotokea mapinduz ya viwanda ndo ilipoanza sabab ya utumwa. Europe hakuna more resources waliamua kuja Africa for resources na labour. Eti prince henry Portugal navigator kweny 15th century ndo aligundua Africa [emoji23] mansa mussa died at 13th century na alikua tajir na elimu kubwa by then Africa kulikua na utajir na elimu kwa waafrica.

Karne ya 18 kweny mapinduz ya viwanda ulaya ndo kipind utumwa ulishika kasi WHY?

KASOMEN TRANSATLANTIC SLAVE TRADE ALAF MJE NA MAJIBU YA EUROPE KWANIN MANIGA NI WENGI KULIKO BAADHI YA NCHI ZA AFRICA KAMA TUNISIA, LIBYA NA MOROCCO
 
Back
Top Bottom