Kati ya dagaa na mlenda, Mboga gani unapendelea kula na ugali?

Dagaa....
Dagaa
 
Dagaa hawa wenye mchanga!?
Hapana Mkuu, ni wale dagaa wa Mwanza ambao hawana mchanga kabisa

Ukipata wale, ukapata na maziwa ya mtindi na nyama choma halafu uwe na ugali kidogo na pilipili nyingi. Unaweza kutamani chakula kisiishe kwenye sahani 🤗
 
Mimi dagaa wakiungwa vizuri nawapenda sana pia mlenda naupenda kama mboga ya ziada hatari sana!
 
Hata wakiwa wamekaangwa na kitunguu pekee wanakuwa wazuri

Dagaa wana protein nzuri sana

Mlenda pia nimekuwa naupenda, ukiwekwa karanga unazidi kuwa mtamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…