Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
Tuletee chakula kischo na madhara tuanze kukisifia.kwanini tuanzishe mada yake kukisifia?
Tuletee chakula kizuri tofauti na ugali.
Tuletee chakula kischo na madhara tuanze kukisifia.kwanini tuanzishe mada yake kukisifia?
Utani unaoenda kwenye ukweli ni mbaya sana, hasa kwetu wazee!Mimi ninao natural labda tufanya kwa kuongezea tu😎
Mpapa wa nazi? 😹😹1.Ugali dagaa+Mlenda+Tembele au majani ya kunde mixa na kunde mbichi
2.Ugali wa Muhogo+Mpapa wa nazi +mtindi
Ugali ni chakula Cha nguluweeIli ugali upande na unoge unahitaji visindikizaji yaani mboga, kwa upande wangu mie napenda sana ugali na dagaa ukiwepo na mlenda naweza kula ugali kwa raha sana.
Kama kuna mlenda napenda dagaa wakavu au wapikwe rosti changanya nyanya chungu na bamia yaani wee acha tu.
Wakuu, wewe ugali unapenda kula na mboga gani?
😹😹😹😹😹😹Vilivile ninaweza kula ugali mkubwa kwa ugali mdogo, yaani ugali mkubwa nitauchukulia kama ugali, na ugali mdogo unakuwa kama mboga tamu mno. Ni mindset tu!
Niambie bibie.😹😹😹😹😹😹
H imekaa kitaalamu, hata vitan tunaishi 🔥
Nisamehe babu sio kwa kupenda kwangu😁Utani unaoenda kwenye ukweli ni mbaya sana, hasa kwetu wazee!
Umependa nini, nataka niuone unafiki wako leo🤣Nisamehe babu sio kwa kupenda kwangu😁
Nimependa tu kukuchokoza kama unavyochokoza wengine..Umependa nini, nataka niuone unafiki wako leo🤣
Huwa nipo serious, sichokozi tu kizembe. Nachokoza huku nataka kidude🤣Nimependa tu kukuchokoza kama unavyochokoza wengine..
Kwahiyo tangu uanze uchokozi ushapata chochote kitu?Huwa nipo serious, sichokozi tu kizembe. Nachokoza huku nataka kidude🤣
Sina bahati mjukuu! Naumia sana!!Kwahiyo tangu uanze uchokozi ushapata chochote kitu?
Sio kweli unataka kujionjea kila rangi👌🏽Sina bahati mjukuu! Naumia sana!!
Una uhakika?Sio kweli unataka kujionjea kila rangi👌🏽