Kati ya dagaa na mlenda, Mboga gani unapendelea kula na ugali?

Kati ya dagaa na mlenda, Mboga gani unapendelea kula na ugali?

Ili ugali upande na unoge unahitaji visindikizaji yaani mboga, kwa upande wangu mie napenda sana ugali na dagaa ukiwepo na mlenda naweza kula ugali kwa raha sana.

Kama kuna mlenda napenda dagaa wakavu au wapikwe rosti changanya nyanya chungu na bamia yaani wee acha tu.

Wakuu, wewe ugali unapenda kula na mboga gani?

Dagaa mchele+salivafront+ugali mix unga wa muhogo na tanasha.
 
Sasa kwa sababu unakula mlenda, fanya iwe sehemu ya diet yako hadi weekend mambo yasiwe mengi🤣🤣
Mimi ninao natural labda tufanya kwa kuongezea tušŸ˜Ž
 
Back
Top Bottom