Kati ya Ford Ranger Double Cabin na Land Cruiser Double Cabin, lipi ni gari bora zaidi kwa kazi za "porini"?

Asante sana mkuu. Umeniongezea kitu.
 
Mizigo midogo midogo ni aina gani ya mizigo?

Wasiwasi wangu isijekuwa unahitaji Canter badala ya pickup
Canter kabisaa!πŸ˜€

Fikiri utoke Ngara hadi Rukwa kwa Canter, halafu utoke Rukwa hadi Kahama, halafu uunge Kahama hadi Geita. Mizunguko ya aina hiyo, tena ya mara kwa mara utaimudu kwa Canter?

Siyo gari la mizigo mkuu.
 
kwa kazi za field chukua Land Cruiser double cabin yenye 1hz engine. Ndani ina features nzuri sio kama series 76.

Endapo hutahitaji kwenda kufanya manunuzi tuwasiline kuanzia kwenye safari mpaka kwenye kukagua na kununua gari South Africa. Documents zote kuanzia kununua,borders mpaka kuifikisha kwako tutakufanyia nawe ukiwapo.
 
Defender 110 mwisho mkuu. Hasa toleo jipya
Shida moja ya Defender ni kwamba kila ukitoka Chimbo la mshikemshike basi ukifika mjini lazima ufanye replacement ya vitu kwenye miguu. Katika suala zima la Off-Road LandCruiser ipewe maua yake. Ford ranger zina tabia ya kunywa maji ukipita nazo kwenye madimbwi ya ukweli. Yote nimeandika kwa experience na siyo story za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…