GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #41
Asante sana mkuu. Umeniongezea kitu.Ford ranger ni mixture ya luxury and utility hivyo hautachoka sana kama utaendesha kwa muda mrefu haswa kwenye barabara korofi. Landcruiser ni utility vehicle, haina luxurious comfort yoyote ila ni gari ya kazi na ndiyo maana hata baadhi ya majeshi huitumia kama combat vehicle mfano darful, somalia n.k.
Hivyo, kama shughuli zako ni kazi kazi kama site Landcruiser is the best choice ila kama at times utahitaji kutumia kama usafiri wa hapa na pale basi ford ranger is the best choice.