makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Huyo ford naona mshindani wake ni hilux hivi.
Chukua LC hiyo kaka.
Chukua LC hiyo kaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LC haijawahi kushuka bei zaidi huwa inapanda mbali na kubadili engine. LC70 1 ni ford ranger 2 BossBei zinashabihiaana Mkuu maana Ranger anatoa matoleo mapya kila akiamka tofauti na LC anabadili Engine tu..
Endelea kupita Web ila nakueleza Ranger kwa mwaka mmoja anaweza kutoa model mbili au tatu na bei zinatofautiana sana nimezungumzia bei sio Ubora Ranger wana bei sana kila wanapotoa hizo Gari zao...LC haijawahi kushuka bei zaidi huwa inapanda mbali na kubadili engine. LC70 1 ni ford ranger 2 Boss
Nimepita cars guide web
Ford Ranger $36,000
Toyota Land Cruiser 70 series $69,000
Ford Ranger 2024 model ni $36,000 - $86,000 kwa limited editions
![]()
Ford Ranger 2024 Price & Specs
Prices for the 2024 Ford Ranger range from $36,880 to $89,190. Compare prices of all Ford Ranger’s sold on CarsGuide over the last 6 months. Use our free online car valuation tool to find out exactly how much your car is worth today. Based on thousands of real life sales we can give you the most...www.carsguide.com.au
Land cruiser 70 series 2024 model ni $69,000-$77,000
![]()
Toyota Landcruiser 70 Series 2023 Price & Specs
Prices for the 2023 Toyota Landcruiser 70 Series range from $70,070 to $104,280. Compare prices of all Toyota Landcruiser 70 Series’s sold on CarsGuide over the last 6 months. Use our free online car valuation tool to find out exactly how much your car is worth today. Based on thousands of real...www.carsguide.com.au
Uzi ubadilishwe iwe Hilux na Ford Ranger. Huku ni kuidhalilisha 70 series.
Sawa hata Lamborghini ina matoleo mengi na ina bei vile vile. Hiyo pesa ya kuchukua Ranger bado hujapata LC 70 showroomEndelea kupita Web ila nakueleza Ranger kwa mwaka mmoja anaweza kutoa model mbili au tatu na bei zinatofautiana sana nimezungumzia bei sio Ubora Ranger wana bei sana kila wanapotoa hizo Gari zao...
Mimi ni mnunuzi mkubwa wa LC ila Ranger nawaheshimu kwa Bei aisee...
Unachokataa hata haukielewi mkuu siku ukija kujua utaelewa tu si tupo kwenye hayo magame...Sawa hata Lamborghini ina matoleo mengi na ina bei vile vile. Hiyo pesa ya kuchukua Ranger bado hujapata LC 70 showroom
Sijakataa Boss, bado tukija kwenye suala la bei, ni rahisi sisi tunao struggle kwenye kipato kununua ford ranger kuliko 70 series.Unachokataa hata haukielewi mkuu siku ukija kujua utaelewa tu si tupo kwenye hayo magame...
Sio kweli Ford utaifanyia nini anaetafuta maisha ni rahisi kupata Land Cruiser kuliko Ford maana hata ukifika nayo Arusha unaweza kurudi Sokoni wiki moja tuu ukafate ingine maana hiyo ushaiuza...LC ni kama pesa ipo Bank vileSijakataa Boss, bado tukija kwenye suala la bei, ni rahisi sisi tunao struggle kwenye kipato kununua ford ranger kuliko 70 series.
SawasawaSasa hapo kuna kulinganisha kweli? Cruiser is more powerful and durable. Labda kama unacompare na hilux
Ahahaaa, hujui bei $36,000 na $69,000. Hapa hatuongelei mikweche bro...Sio kweli Ford utaifanyia nini anaetafuta maisha ni rahisi kupata Land Cruiser kuliko Ford maana hata ukifika nayo Arusha unaweza kurudi Sokoni wiki moja tuu ukafate ingine maana hiyo ushaiuza...LC ni kama pesa ipo Bank vile
Daah mkuu unamfundisha anaeyauza na kuyatumia Tanzania mwaka karibu wa 20 huu nipo na hayo madudu....Ahahaaa, hujui bei $36,000 na $69,000. Hapa hatuongelei mikweche bro...
cruiser kwenye maintenance ni cheap kuliko ford, interms of spare parts na mafundi ila kwenye durability ford ranger Hana mpinzani
Comparison ya vitu viwili tofauti,Daah mkuu unamfundisha anaeyauza na kuyatumia Tanzania mwaka karibu wa 20 huu nipo na hayo madudu....
Nani kakudanganya kuna 200tdi hio machine ni kwikwii, nimezitengeneza sana miaka hio ya 2003Tafuta Landrover 300 tdi Engine ni pundaaaa unaeza beba mpaka nyumba
Hahahahahahah mkuu basi[emoji119][emoji119][emoji119]Tunamchukuliaga pouwa sana LC70 huku kwa kuwa tunamtumia kama Ambulance na gari la kuzuia mikutano ya Chadema [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Huyo anaongelea ushabiki nadhaniHii ni ngumu kuamini. landcruiser, tena model hii hakuna wa kulinganisha nayo. Jiulize kwa nn hata defender zenye engine ya zamani na hizi za puma hazitumiki na wazee wa kupiga shimo za serengeti (tours). Huu ni mfano tu ila ipo zaidisi ya hii (vitani, un na missions kibao wanatumia hizi gari.
Usijaribu hata kulinganisha durability ya LC na Ford kwa namna hii
Jamaa anajaribu kutafuta tofauti ya "Katambuga" na "Malapa"Kama UN na vikundi vya waasi sehemu mbalimbali duniani wanatumia Land Cruiser double cabin mimi ni nani niwapinge