Kati ya hawa mmojawapo anaweza kuwa Rais 2025

PM na Mwinyi ndo pekee kwa sasa ndo wataweza irudisha nchi kwenye uchumi wa kisasa na wa kistaarabu.2025 ni zamu ya waislamu Kama ilivyo jadi Ili kuleta umoja wa kitaifa.
 
1.Hussen Mwinyi haiwezekani kwanza bado atakuwa Rais Zanziba,pili hamna mpumbavu ambaye anaweza aka risk kufanya uchaguzi Zanzibar ukizingatia hali ya kisiasa iliyopo huko.
2.Majaliwa na Samia by 2025 watakuwa above 64 years-hapa hutuwezi kuongozwa na Wazee
3.Mwigulu ni Mkristo haiwezekani maana kwa sasa ni zamu ya Mwisilam, pia ana weakness kubwa sana hana msimamo wa kiuongozi ana tamaa kupita maelezo-huyu anaweza uza Nchi.
4.Karata pekee iliyopo ni lazima Rais ajaye awe Mwislam -hapa nafasi kubwa ipo kwa January Makamba (huyu itategemeana kama Kikwete atakuwa Hai) na Ummy Mwalimu.
 

Anaweza hata miaka 50, labda tu asitake. Hii ni nchi ya makondoo hivyo hupati shida kuitawala.
 
Umemsahau suleiman Jafo,
 
Umemsahau Elungata,,niko nafanya maandalizi kabambe,tayari naandaa wajumbe toka kila kona,kila mtaa,kila kijiji,
 
Hakuna hata mmoja hapo
 
Kuna wengine itabidi watumie piko kichwani Ili wafike vigezo.
 
CCM mshaifanya hii nchi yenu eeee !! mnaanza kufikiri kugawana vyeo badala ya kuwaletea wananchi maendeleo!!
 
Mnadhani nchi ya bau yenu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…