Kati ya hawa wawili nimuoe nani?

umenichekesha ujue....sasa mimi naingiaje hapo? au na mimi ni mchepuko mtarajiwa? 😁😁😁😁😁😁😁
Ahaaaa sasa we ulijuache sijui commitment kama hukuwa mchepuko wangu
 
Mie ndio maana siku hizi sitoi shikamoo zangu kizembe

Wazee wetu hawa wenye 40 wana akili za ajabu namna hii
Yaani kwa miaka mitano iliyopita sijagonga mwanamke above 25.sijutii kazi yangu inanikutanisha na mabinti below 25,miaka 40 sio mzee we shika adabu yako,am slim ,healthy,na moto napekeka kisawasawa
 
waache wote.... tafuta mstaafu
 
oa namba 2 hiyo moja waachie wasuka dred nao waonje utamu wa dunia.

la sivo adi apitie stage ya vindala vya manyoya utakufa mapema ye atafaidi pensheni
 
Yaani kwa miaka mitano iliyopita sijagonga mwanamke above 25.sijutii kazi yangu inanikutanisha na mabinti below 25,miaka 40 sio mzee we shika adabu yako,am slim ,healthy,na moto napekeka kisawasawa
wacha wee😁 asubuhi ya leo nimempa shikamoo agemate wako ila ye ana mvi zinazootea kwa mbali japo anapenda kunyoa upara ameninyodoa huyo mithili ya majibu yako 😁😁
 
umenichekesha ujue....sasa mimi naingiaje hapo? au na mimi ni mchepuko mtarajiwa? 😁😁😁😁😁😁😁
au ww ndo uliekimbia na watoto wake wawili😁😁
 
oa namba 2 hiyo moja waachie wasuka dred nao waonje utamu wa dunia.

la sivo adi apitie stage ya vindala vya manyoya utakufa mapema ye atafaidi pensheni
Kama nakuelewa hivi
 
wacha wee😁 asubuhi ya leo nimempa shikamoo agemate wako ila ye ana mvi zinazootea kwa mbali japo anapenda kunyoa upara ameninyodoa huyo mithili ya majibu yako 😁😁
Sina mvi nanyoa panki,weekend navaa jeans na tshirt.kazini vibinti vina nisalimia mambo,kwa nini nisivipelekee moto.mjini kuzeeka utake mwenyewe
 
Sina mvi nanyoa panki,weekend navaa jeans na tshirt.kazini vibinti vina nisalimia mambo,kwa nini nisivipelekee moto.mjini kuzeeka utake mwenyewe
kudadeck😁😁
 
Kwa ushauri wangu muoe sarafina huyo Sara kwa umri wake she deserves more, Bora huyo MTU mzima mwenzio hao under 25 watakusumbua tu
Uko sahihi kabisa, huyo kijana wa zamani ndiyo anayekufaa maana ameshaona maisha na ametulia. Lakini huyo kijana ndiyo anaiyona dunia sasa utapambana na wa rika lake.

Kama ni watoto tayari unao na nikuhakikishie kwa asilimia kubwa watakutafuta tu hao, muhimu na wewe ujaribu kuwatafuta ili uwe nao karibu.

Huyo wa miaka 40 kwa sasa bado anaweza kukupatia mmoja ili mukaunganisha damu, siku hizi hata miaka 50 watu wanapata watoto.
 
Miaka 40 mimgi kuiitamka ila ngoja nikutajie watu wachache age mate wangu nao useme kama wanastahlii shikmoo
Dully Sykes 42,Mwana FA 40,AY42,Juma nature42,lady jay dee 45.
Hapo kuna wakumpa shikamoo kweli
hao hawafui dafu

tuseme zari adi kina rayvanny wanatokwa mate😁😁 kikubwa uwe mtata kitandani sio mtata wabamkongo.
 
Sasa kama wote wanakupea mbususu ya nini uoe? Wee wapelekee moto tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…