Kati ya hawa wawili nimuoe nani?

Kati ya hawa wawili nimuoe nani?

Mtoto kisu sana kama mama yake aisee mi naogopa nikimuoa sarafina kuna siku ntakula kuku na mayai yake ,mtoto mzuri sana
Wee kula tuu kwanai mwanamke amewekwa duniani kwa ajili ya nini kama sio kugegedwa
 
Nilikuwa na mahusiano na mwanamke toka nchi moja barani ulaya tiliishi kwa muaka mitano,tukajaaliwa waroto wawili,mkataba ulipoisha akarudi kwao na watoto wangu nikabaki na boksa na mappumbu yangu tu.
Sasa nataka kuoa tena katika umri wangu huu wa miaka arobaini ila sijui nimuoe nani kati ya hawa.
1 Sara
Huyu ni binti mrembo mbichi kabisa miaka 22 ,kifaa hasa mtoto hana makuu kama ni gari imeembea km chache sana yuko tayari nimuo hata kesho ila tofauti ya umri inaniogopesha miaka 22 kwa 40
2 Sarafina
Huyu ni mdada nilisoma nae darasa moja O level aliokewa mara baada ya kumaliza form four ,ana watoto wawili,binti yake wa kwanza yupo chuo kikuu,analingana na huyo sara.
Sasa huyu single mother anazeeka na utamu wake,kiumri tunalingana na ni mrembo hasa,kipindi tunasoma alikuwa mzuri kuliko wasichana wote shule nzima,mumewe alipata ajali akafa,dada ni mpambanaji sana ana akili za maisha japo darasani alikuwa anashika mkia
Ananipenda sana na tunalingana umri anataka nimuoe fasta.
NB wote nimewaonja nii watamu balaa na kazi wanaiweza.na wote ni kabila moja.
Ushauri wenu wakuu nimuoe nani
Wote nawapenda
Dini yetu hairuhusu wake wengi
Sasa sikiliza oa huyo mnae lingana halafu huyu wa 22 Nipe mimi nioe then siku moja moja nitakuwa nakuruhusu unasuuza rungu kiroho safi bila shida yoyote
 
Sasa sikiliza oa huyo mnae lingana halafu huyu wa 22 Nipe mimi nioe then siku moja moja nitakuwa nakuruhusu unasuuza rungu kiroho safi bila shida yoyote
Dah kumbe wote mnapenda mabinti wabichi ila mzee ndio mnanipa mimi
 
Yaani kwa miaka mitano iliyopita sijagonga mwanamke above 25.sijutii kazi yangu inanikutanisha na mabinti below 25,miaka 40 sio mzee we shika adabu yako,am slim ,healthy,na moto napekeka kisawasawa
Ah we jamaa nimeshajua kazi unayofanya 🤣🤣🤣
 
Ukimuoa Sarah ufanye sana mazoezi na upungunguze kula vyakula vya wanga ikiwemo unywaji wa bia. Mtoto wa miaka 22 round moja haimtoshi na kuna uwezekano vijana wakakupa ushirikiano.
Nishauri na Mimi hapa Nina demu wangu nataka kumuoa yeye ana 19 Mimi Nina 34 na sina demu mwingine kabisa Is it reasonable nimuoe au bado yeye mdogo Sana kwangu age difference ni kubwa mno au inakuwaje 34-19 namzidi 15 years
 
Nishauri na Mimi hapa Nina demu wangu nataka kumuoa yeye ana 19 Mimi Nina 34 na sina demu mwingine kabisa Is it reasonable nimuoe au bado yeye mdogo Sana kwangu age difference ni kubwa mno
Hivi mkikaa mnapiga story gani hapo! Any way kama ana ku heshima na kukusikiliza hakuna tatizo.
 
Nilikuwa na mahusiano na mwanamke toka nchi moja barani ulaya tiliishi kwa muaka mitano,tukajaaliwa waroto wawili,mkataba ulipoisha akarudi kwao na watoto wangu nikabaki na boksa yangu tu.

Sasa nataka kuoa tena katika umri wangu huu wa miaka arobaini ila sijui nimuoe nani kati ya hawa.

1 Sara
Huyu ni binti mrembo mbichi kabisa miaka 22 ,kifaa hasa mtoto hana makuu kama ni gari imeembea km chache sana yuko tayari nimuo hata kesho ila tofauti ya umri inaniogopesha miaka 22 kwa 40

2 Sarafina
Huyu ni mdada nilisoma nae darasa moja O level aliokewa mara baada ya kumaliza form four ,ana watoto wawili,binti yake wa kwanza yupo chuo kikuu,analingana na huyo sara.

Sasa huyu single mother anazeeka na utamu wake,kiumri tunalingana na ni mrembo hasa,kipindi tunasoma alikuwa mzuri kuliko wasichana wote shule nzima,mumewe alipata ajali akafa,dada ni mpambanaji sana ana akili za maisha japo darasani alikuwa anashika mkia. Ananipenda sana na tunalingana umri anataka nimuoe fasta.

NB wote nimewaonja nii watamu balaa na kazi wanaiweza.na wote ni kabila moja.
Ushauri wenu wakuu nimuoe nani
Wote nawapenda

Dini yetu hairuhusu wake wengi
Ao mtoto wa sarafina huyo aliye chuo kikuu na anayelingana na Sarah
 
Hivi mkikaa mnapiga story gani hapo! Any way kama ana ku heshima na kukusikiliza hakuna tatizo.
Story za kupiga sio kivile japo hofu yangu ilikuepo ni age difference tuu japo nampenda huyu Mdada Sana. other factors if are constantly Nikiangalia umri huu naona kama nitamtangulia kufaa na kumuacha pekee. Naamini wewe ni Mkongwe kutokana na ushauri wa hapo Juu uliomshauri huyo mwenye hii thread Kwa age difference hapo atanifaa au niachane nae tuu nitafute mwingine tunaelingana nae.
 
Nilikuwa na mahusiano na mwanamke toka nchi moja barani ulaya tiliishi kwa muaka mitano,tukajaaliwa waroto wawili,mkataba ulipoisha akarudi kwao na watoto wangu nikabaki na boksa yangu tu.

Sasa nataka kuoa tena katika umri wangu huu wa miaka arobaini ila sijui nimuoe nani kati ya hawa.

1 Sara
Huyu ni binti mrembo mbichi kabisa miaka 22 ,kifaa hasa mtoto hana makuu kama ni gari imeembea km chache sana yuko tayari nimuo hata kesho ila tofauti ya umri inaniogopesha miaka 22 kwa 40

2 Sarafina
Huyu ni mdada nilisoma nae darasa moja O level aliokewa mara baada ya kumaliza form four ,ana watoto wawili,binti yake wa kwanza yupo chuo kikuu,analingana na huyo sara.

Sasa huyu single mother anazeeka na utamu wake,kiumri tunalingana na ni mrembo hasa,kipindi tunasoma alikuwa mzuri kuliko wasichana wote shule nzima,mumewe alipata ajali akafa,dada ni mpambanaji sana ana akili za maisha japo darasani alikuwa anashika mkia. Ananipenda sana na tunalingana umri anataka nimuoe fasta.

NB wote nimewaonja nii watamu balaa na kazi wanaiweza.na wote ni kabila moja.
Ushauri wenu wakuu nimuoe nani
Wote nawapenda

Dini yetu hairuhusu wake wengi
Ndugu yangu hapo hakuna anae kufaa kasoro mimi tu ndo nafaa

Kwa sababu
1: singo mother ni kiwanja chenye mgogoro, hao watoto usijifanye hujui nani anachangia ada.

2: wewe babu wewe hako katoto ka 22 wapi na wapi? Kakikwambia kanaenda kucheza na wenzie utakazuia? Wewe naona hujui haki za watoto.

3😂😂😂😂😂😂

Embu turudi kwenye mada maana nilikuwa natania.

Vip umesema ulibaki na boksa yako tu.? Wacha utani bana.

Kuhandle hao wote akina sara na sarafina lazima uwe na pesa, unapomuoa sarafina hao watoto ni wako ada na matumizi yote utatoa hadi mwisho.

Sara bado mdogo na usimchukulie poa mara yuko humble mara nini, anataka matunzo na kutimiziwa kila kitu ikiwemo kitandani. Siku unamcheat sara umekwisha atakuacha akatafute vijana wengine.

Siku ukimcheat sarafina atakuvumilia maana ana shida ya upweke na kusaidiwa kulea. Na atakusamehe kwa kila kosa utakalofanya.

Kama pesa unayo, na sio hiyo noksa yako tu ulio isema .basi muoe sarafina huyu ndo atakuvumilia hata siku ukiishiwa nguvu za kiume atakuficha aibu.

Nb kama utani vile Ukraine kamchapa putin🙈
 
Story za kupiga sio kivile japo hofu yangu ilikuepo ni age difference tuu japo nampenda huyu Mdada Sana. other factors if are constantly Nikiangalia umri huu naona kama nitamtangulia kufaa na kumuacha pekee. Naamini wewe ni Mkongwe kutokana na ushauri wa hapo Juu uliomshauri huyo mwenye hii thread Kwa age difference hapo atanifaa au niachane nae tuu nitafute mwingine tunaelingana nae.
Kumuoa binti wa miaka 19
1. Usitegemee sana mchango wa kiuchumi kutoka kwake, jiandae kuwa 100% baba wa familia. Kuanzia chumvi na pilipili mpaka ada za watoto na ujenzi wa nyumba.

2. Katika umri huu Mungu akiwabariki mtapa sana watoto. Na kama wote mchezo mnaupenda mnaweza kuwa na kichanga kila mwaka.

Unawwza kum tune mwenyewe vile unapenda awe na akawa hivyo mpaka uzeeni mfano; kuweka mkwara wa mawigi na kuweka nywele dawa, kunywa pombe nk.
 
Back
Top Bottom