reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kuhusu commitment unisamehe sana sikuwa responsible kwako maana uwezo wangu kipindi niko na wewe ulikuwa mdogo,sasa niko vizuri kiuchimi kuhudumia mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kuhusu commitment unisamehe sana sikuwa responsible kwako maana uwezo wangu kipindi niko na wewe ulikuwa mdogo,sasa niko vizuri kiuchimi kuhudumia mke
Huyo size yako tu ukiwa na 60 ye atakuwa na 45 tayari wote watu wazima,kikubwa mzalishe fastafasta usiku na mchana ili asipate nafasi ya kula ujana akija kustuka kafika 30 we uko 45 mnaanza kwenda sawaNishauri na Mimi hapa Nina demu wangu nataka kumuoa yeye ana 19 Mimi Nina 34 na sina demu mwingine kabisa Is it reasonable nimuoe au bado yeye mdogo Sana kwangu age difference ni kubwa mno au inakuwaje 34-19 namzidi 15 years
Nimejiandaa Kwa asilimia 100 kuwa Baba wa familia Kwa asilimia 100 Kwa kuihudumia kwasababu huyu Mwanamke yeye ni form four lever Mimi ni M.Sc holder na pia nimeajiriwa serikalini pia ni mjasiriamali mdogo mdogo pia Situmii pombe na yeye hatumii kabisa kwahiyo ushauri wako nitaujazilishia kwenye malengo yangu .Kumuoa binti wa miaka 19
1. Usitegemee sana mchango wa kiuchumi kutoka kwake, jiandae kuwa 100% baba wa familia. Kuanzia chumvi na pilipili mpaka ada za watoto na ujenzi wa nyumba.
2. Katika umri huu Mungu akiwabariki mtapa sana watoto. Na kama wote mchezo mnaupenda mnaweza kuwa na kichanga kila mwaka.
Unawwza kum tune mwenyewe vile unapenda awe na akawa hivyo mpaka uzeeni mfano; kuweka mkwara wa mawigi na kuweka nywele dawa, kunywa pombe nk.
Dah kazi ipo mkuu,haka katoto ni kweli nina hofu katakuja kunisumbua huko mbele,huyu mzee mwenzangu inabidi kwanza nijue nani anamlipia ada watoto ndio nifanye maamuziNdugu yangu hapo hakuna anae kufaa kasoro mimi tu ndo nafaa
Kwa sababu
1: singo mother ni kiwanja chenye mgogoro, hao watoto usijifanye hujui nani anachangia ada.
2: wewe babu wewe hako katoto ka 22 wapi na wapi? Kakikwambia kanaenda kucheza na wenzie utakazuia? Wewe naona hujui haki za watoto.
3😂😂😂😂😂😂
Embu turudi kwenye mada maana nilikuwa natania.
Vip umesema ulibaki na boksa yako tu.? Wacha utani bana.
Kuhandle hao wote akina sara na sarafina lazima uwe na pesa, unapomuoa sarafina hao watoto ni wako ada na matumizi yote utatoa hadi mwisho.
Sara bado mdogo na usimchukulie poa mara yuko humble mara nini, anataka matunzo na kutimiziwa kila kitu ikiwemo kitandani. Siku unamcheat sara umekwisha atakuacha akatafute vijana wengine.
Siku ukimcheat sarafina atakuvumilia maana ana shida ya upweke na kusaidiwa kulea. Na atakusamehe kwa kila kosa utakalofanya.
Kama pesa unayo, na sio hiyo noksa yako tu ulio isema .basi muoe sarafina huyu ndo atakuvumilia hata siku ukiishiwa nguvu za kiume atakuficha aibu.
Nb kama utani vile Ukraine kamchapa putin🙈
Kweli kabisa yaani huo ndio ushauri mzuriHuyo size yako tu ukiwa na 60 ye atakuwa na 45 tayari wote watu wazima,kikubwa mzalishe fastafasta usiku na mchana ili asipate nafasi ya kula ujana akija kustuka kafika 30 we uko 45 mnaanza kwenda sawa
Muhimu usiwe mbahili,peleka moto hasa,mzalishe mfululizo ,
Ondoa hofu ya kutangulia,Story za kupiga sio kivile japo hofu yangu ilikuepo ni age difference tuu japo nampenda huyu Mdada Sana. other factors if are constantly Nikiangalia umri huu naona kama nitamtangulia kufaa na kumuacha pekee. Naamini wewe ni Mkongwe kutokana na ushauri wa hapo Juu uliomshauri huyo mwenye hii thread Kwa age difference hapo atanifaa au niachane nae tuu nitafute mwingine tunaelingana nae.
Ok thanks mfano Malecela kumzika Dr Mwele MalecelaOndoa hofu ya kutangulia,
Hicho kipengele hakina mwenyewe.
Ni mara nyingi hutokea wazazi wengi huwazika watoto badala ya watoto kuwazika wazazi.
You see?!Ok thanks mfano Malecela kumzika Dr Mwele Malecela
Actually kabisa maisha hayana formulaYou see?!