Kati ya hawa wawili nimuoe nani?

Dah kuhusu commitment unisamehe sana sikuwa responsible kwako maana uwezo wangu kipindi niko na wewe ulikuwa mdogo,sasa niko vizuri kiuchimi kuhudumia mke
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nishauri na Mimi hapa Nina demu wangu nataka kumuoa yeye ana 19 Mimi Nina 34 na sina demu mwingine kabisa Is it reasonable nimuoe au bado yeye mdogo Sana kwangu age difference ni kubwa mno au inakuwaje 34-19 namzidi 15 years
Huyo size yako tu ukiwa na 60 ye atakuwa na 45 tayari wote watu wazima,kikubwa mzalishe fastafasta usiku na mchana ili asipate nafasi ya kula ujana akija kustuka kafika 30 we uko 45 mnaanza kwenda sawa
Muhimu usiwe mbahili,peleka moto hasa,mzalishe mfululizo ,
 
Nimejiandaa Kwa asilimia 100 kuwa Baba wa familia Kwa asilimia 100 Kwa kuihudumia kwasababu huyu Mwanamke yeye ni form four lever Mimi ni M.Sc holder na pia nimeajiriwa serikalini pia ni mjasiriamali mdogo mdogo pia Situmii pombe na yeye hatumii kabisa kwahiyo ushauri wako nitaujazilishia kwenye malengo yangu .
 
Dah kazi ipo mkuu,haka katoto ni kweli nina hofu katakuja kunisumbua huko mbele,huyu mzee mwenzangu inabidi kwanza nijue nani anamlipia ada watoto ndio nifanye maamuzi
 
Kweli kabisa yaani huo ndio ushauri mzuri
 
Ondoa hofu ya kutangulia,
Hicho kipengele hakina mwenyewe.

Ni mara nyingi hutokea wazazi wengi huwazika watoto badala ya watoto kuwazika wazazi.
 
Ondoa hofu ya kutangulia,
Hicho kipengele hakina mwenyewe.

Ni mara nyingi hutokea wazazi wengi huwazika watoto badala ya watoto kuwazika wazazi.
Ok thanks mfano Malecela kumzika Dr Mwele Malecela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…