Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Madaktari na walimu pia watu wa kilimo kazi zao ni ngumu kuliko hao wanaopigwa viyoyozi maofisini. Lakini wanavyowapuuza wanalipwa mshahara kiduchu.
Hoja yao ni kuwa hao wanaingiza pesa serikalini wakati madaktari na walimu wanatumia pesa zilizotengenezwa na wengine
 
Mkuu wewe inaonekana hauwajui Watu wanaolipwa vizuri aise
Acha utani brother, huwezi kuwaweka jwtz kwenye watu wanaolipwa vizuri Tanzania.
Linganisha mshahara wa graduate kuruta jeshini na graduate wa hizo taasisi nilizotaja hapo juu.
 
Kwa hiyo watumishi wa vyuo vikuu mnawachukuliaje labda
 
Kuna walinzi TANAPA!!!
Figure za TANAPA sijui ila ninachojua kuna dogo aliajiriwa pale kama mlinzi mwaka juzi alianza na laki 9 kama salary.
Bado house allowance, transport allowance e.t.c
 
Nashukuru umesema kwa udadisi wako mdogo mkuu.
 
Kwa hiyo watumishi wa vyuo vikuu mnawachukuliaje labda
Wazee wa PUTS. Wakati nasoma nilikuwa nasikia kila mkisahihisha script moja ya mwanafunzi UE unapewa buku ni kweli?
 
Uzuri nimeona umekiri mwenyewe kule juu kuwa "labda kuanzia jiwe moja"! Ndiyo jeshini ukiwa officer hela nje nje tu kuliko hata baadhi ya hao wengine uliowataja hapo!
Mkuu hata mwenye jiwe, scale haitishi sana.
 
Hivi kuna taasisi ya serikali inayoajiri walinzi au wafanya usafi kwa miaka hii sio kwamba wana outsource
 
Hizi ndizo
1.TMAA graduate alikuwa anaanza na 4.5 bahati mbaya Magu ameivunja.
2.TCRa wanaanza na 4.
3.Ewura 3.5
4.TPA 2.8
5.REa 2.5
BoT,TPDC,TRA, NSSF,na wengineo wengi wanaanza 2 hadi 1.5 na hao TPDC ni 1.8.

Kazi kwako.
Hakuna ukweli hapa
 
Acha utani brother, huwezi kuwaweka jwtz kwenye watu wanaolipwa vizuri Tanzania.
Linganisha mshahara wa graduate kuruta jeshini na graduate wa hizo taasisi nilizotaja hapo juu.
Aisee mbona mmeng'ang'ania hao makuruta na maprivate tu kwani Jeshi linacomprise hao tu mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…