- Thread starter
- #261
Hoja yao ni kuwa hao wanaingiza pesa serikalini wakati madaktari na walimu wanatumia pesa zilizotengenezwa na wengineMadaktari na walimu pia watu wa kilimo kazi zao ni ngumu kuliko hao wanaopigwa viyoyozi maofisini. Lakini wanavyowapuuza wanalipwa mshahara kiduchu.