Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Sijaelewa...Magereza sio taasisi ya Umma au
Ajira za umma kuna
1. Wizara
2. Halmashauri
3. Jeshi, polisi, magereza, uhamiaji
4. Wakala
5. Mamlaka
7. Taasisi
8. Shirika
9. Tume
Nakadhalika
Magereza sio taasisi mkuu
 
"Naskia wanakunja parefu", Aliniambia mshahara mzuri" "Inasemekana posho kama zote" "Wakasema ile ndio inaongoza kwa safari"

Hearsays ni nyingi sana humu.

Btw, mimi naona ni bora uwe na take home 900k ila uwe na kapesa ka nyumba na usafiri pembeni angalau 350k, uhakika wa extra duty allowances, na vijisafari vya hapa na pale angalau siku saba kila mwezi.
 
Nimeona hata NEC na NBS Nao wako vizuri
 
Mwamba ni mfanyabiashara mplipa kodi tu, ndiye anayewalisha hao wote 6.
Comment yako ndio imemaliza haya yote.

TRA ni namba nyingine hapo, sio TPA wala BOT.

Kwanza TPA sasa hivi inasemakana hakuna maslahi mazuri kama TANAPA.

TRA atakuwa na maslahi makubwa zaidi.
 
Kati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.

2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.

3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.

4. TPA
Tanzania Port Authority.

5. TRA
Tanzania Revenue Authority.

6. TANAPA
Tanzania National Park

Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.

1. STATE HOUSE
2. TISS
3. TPDF
4. BOT
5. TRA
6. PCCB
7. TPA

Asubuhi njema Ndugu.
 
Endeleeni kudharau tfs kuna watu wanapiga mipunga balaa
TFS wana mishaara kama wafanyakazi wa hamshauri ila sasa mna magap hatari. Watu mnajigawia plot za miti na magap mengine kibao. Vilevile mko kwenye mchakato wa kuwa shirika la umma kama hao wengine tajwa hapo juu hivyo mishaara itakuwa mikubwa hapo ndo mtawapoteza kabisa.
 
Hahahaa! Wazee wa misitu.
Hawa wako vizuri au ni kwamba tu wana safari nyingi?
Ni magap ya wizi wa miti na rushwa ila mishaara yao ni TGTS kama wa halmashauri lakini wako kwenye mchakato wa kuwa shirika la umma hivyo salary scale zitabadilika kuwa kama hao wengine.
 
TFS wana mishaara kama wafanyakazi wa hamshauri ila sasa mna magap hatari. Watu mnajigawia plot za miti na magap mengine kibao. Vilevile mko kwenye mchakato wa kuwa shirika la umma kama hao wengine tajwa hapo juu hivyo mishaara itakuwa mikubwa hapo ndo mtawapoteza kabisa.
Kuuza miti pamoja na safari za research
 
Sema yote lakini wanao piga pesa nyingi ni wanao fanya kazi ofisi ya Rais

Mpiga picha tuu, kwa mwezi anatoka na net above 10M.

Bado mzee akienda chato kwa miezi 2, [emoji1]

Back
Top Bottom