Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Mwamba ni mfanyabiashara mplipa kodi tu, ndiye anayewalisha hao wote 6.
 
Unatafta sehemu ya field nini
 
BANDARINI NA TRA nasikia wanapiga maslahi mazuri sana mkuu, hao wengine siajapata taarifa zao kivile

Mazingira bora ya nazi au ya kazi?
Bro tafuta muajiriwa wa bandari umuambie hiki kitu kama hajakupiga makofi....wafanyakazi wa tasac wana mishahara minono kuliko hao wa bandari....
Maisha ya mfanyakazi wa bandarini hayana tofauti ni vibarua wao
 
Mwamba ni mfanyabiashara mplipa kodi tu, ndiye anayewalisha hao wote 6.
Akili zako matope kweli..kwahiyo unadhani hao wafanyakazi hawakatwi kodi?..huu ujinga utawatoka lini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…