Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Wadau msaada

Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
 
Waliosoma wote ndio tupo tunapiga window huku.

Ukiwa na akili za ziada utajikuta umekua fundi simu upande wa software.

Kuhusu kufanikiwa usitegemee kabisa maana hizo kazi hawaajiri beginers, wanataka wazoefu haswa.

Na uzoefu maana yake ni kwamba, Maliza Chuo leo na Degree yako then sugua benchi kwa kujitolea sehem tofaut tofaut kwa miaka hata 10 then ndipo utafute ajira.

Ki ufupi hiyo Kitu naifananisha na SIASA bila mtu aliekutangulia anaekujua kukushika mkono kukupa kitengo.

Jiandae Kuja Kuwa Fundi Simu au Computer
 
Zingatia alichokwambia huyu jamaa! Lakini ukiamua kusoma soma computer science.
 
CS bongo kazi ni chache zaidi labda uajiriwe kama IT, IT labda angalau lakini sio sana na ndo kama walivyosema utakuwa "fundi" wa kila kitu kuanzia simu hadi karatasi imenasa kwenye printer utaitwa wewe, kama ukisoma CS kuna chance kubwa zaidi ukikimbia nchi na ni kazi ambayo inaweza kufanyika remote kwa urahisi zaidi ila ni ngumu kupata.
 
hivi hawa waliovumbua apps kama, whatsapp, x, instagram, tik tok, fb n.k huwa wamesomea nini kwenye mambo ya technology?
Unaweza ukaenda Wikipedia ukasoma historia za kampuni zote hizo na kuona ni nani alianzisha, kwa kifupi karibia wote wamesomea Computer Science lakini tatizo sio kusoma tu ni mazingira yanayoruhusu kampuni za namna hiyo kufanikiwa.
 
Nipe tofauti ya haya:
Computer Science
Computer Engineering
Computer Programming
Information Technology
Information and Communication Technology
Computer coding
Software Engineering
 
Waliosoma wote ndio tupo tunapiga window huku.

Ukiwa na akili za ziada utajikuta umekua fundi simu upande wa software.

Kuhusu kufanikiwa usitegemee kabisa maana hizo kazi hawaajiri beginers, wanataka wazoefu haswa.

Na uzoefu maana yake ni kwamba, Maliza Chuo leo na Degree yako then sugua benchi kwa kujitolea sehem tofaut tofaut kwa miaka hata 10 then ndipo utafute ajira.

Ki ufupi hiyo Kitu naifananisha na SIASA bila mtu aliekutangulia anaekujua kukushika mkono kukupa kitengo.

Jiandae Kuja Kuwa Fundi Simu au Computer
kweli tupu
 
Nipe tofauti ya haya:
Computer Science
Computer Engineering
Computer Programming
Information Technology
Information and Communication Technology
Computer coding
Software Engineering
Sante
 
Unaweza ukaenda Wikipedia ukasoma historia za kampuni zote hizo na kuona ni nani alianzisha, kwa kifupi karibia wote wamesomea Computer Science lakini tatizo sio kusoma tu ni mazingira yanayoruhusu kampuni za namna hiyo kufanikiwa.
Ni kweli mkuu
 
Ni kweli boss
 
Back
Top Bottom