Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Na kwenye fursa si wanahitajika kuliko ITComputer scientists ndio wanatengeneza programs ambazo IT wanazitumia...
Computer science inalipa zaidi kuliko IT.
Kama unapenda kufanya programming soma computer science...Na kwenye fursa si wanahitajika kuliko IT
Zingatia alichokwambia huyu jamaa! Lakini ukiamua kusoma soma computer science.Waliosoma wote ndio tupo tunapiga window huku.
Ukiwa na akili za ziada utajikuta umekua fundi simu upande wa software.
Kuhusu kufanikiwa usitegemee kabisa maana hizo kazi hawaajiri beginers, wanataka wazoefu haswa.
Na uzoefu maana yake ni kwamba, Maliza Chuo leo na Degree yako then sugua benchi kwa kujitolea sehem tofaut tofaut kwa miaka hata 10 then ndipo utafute ajira.
Ki ufupi hiyo Kitu naifananisha na SIASA bila mtu aliekutangulia anaekujua kukushika mkono kukupa kitengo.
Jiandae Kuja Kuwa Fundi Simu au Computer
Wagunduzi hawasomei, wenye vipaji wanagundua vitu halafu wenye àkili wanasoma na kuviendeleza. Mgunduzi anakuwa mmoja halafu ile elimu inafundishwa kwa watu wengi waitumie.hivi hawa waliovumbua apps kama, whatsapp, x, instagram, tik tok, fb n.k huwa wamesomea nini kwenye mambo ya technology?
Unaweza ukaenda Wikipedia ukasoma historia za kampuni zote hizo na kuona ni nani alianzisha, kwa kifupi karibia wote wamesomea Computer Science lakini tatizo sio kusoma tu ni mazingira yanayoruhusu kampuni za namna hiyo kufanikiwa.hivi hawa waliovumbua apps kama, whatsapp, x, instagram, tik tok, fb n.k huwa wamesomea nini kwenye mambo ya technology?
Je malengo yako binafsi ni yapi? , Ili tukupe chaguo sahihi.Wadau msaada
Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
Nipe tofauti ya haya:Unaweza ukaenda Wikipedia ukasoma historia za kampuni zote hizo na kuona ni nani alianzisha, kwa kifupi karibia wote wamesomea Computer Science lakini tatizo sio kusoma tu ni mazingira yanayoruhusu kampuni za namna hiyo kufanikiwa.
kweli tupuWaliosoma wote ndio tupo tunapiga window huku.
Ukiwa na akili za ziada utajikuta umekua fundi simu upande wa software.
Kuhusu kufanikiwa usitegemee kabisa maana hizo kazi hawaajiri beginers, wanataka wazoefu haswa.
Na uzoefu maana yake ni kwamba, Maliza Chuo leo na Degree yako then sugua benchi kwa kujitolea sehem tofaut tofaut kwa miaka hata 10 then ndipo utafute ajira.
Ki ufupi hiyo Kitu naifananisha na SIASA bila mtu aliekutangulia anaekujua kukushika mkono kukupa kitengo.
Jiandae Kuja Kuwa Fundi Simu au Computer
SanteNipe tofauti ya haya:
Computer Science
Computer Engineering
Computer Programming
Information Technology
Information and Communication Technology
Computer coding
Software Engineering
Becoming a programmerJe malengo yako binafsi ni yapi? , Ili tukupe chaguo sahihi.
Computer science ina fursa kubwa sanaWadau msaada
Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa