Kati ya Kipotoshi, Jol Master, Eliud, Ndaro, Laugh on Leonardo na TX Dullah, unampa hela yako nani kwenye Comedy Show?

Yoh! Bro unajua stand.up comedy...i wish these three comedians you mentioned would have seen your comment..umetoa right judgement plus Madini muhimu sana kwa mafanikio yao
 
Toka nimewaona CCM siwafagalii....
Lakini kabla ya CCM
Leonardo is the last man standing, he has intelligent jokes
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.... as they move wataenda sawa na matakwa ya wateja wao
 
Hawa watu mnakutana nao wapi?mbona majina ni mageni kwangu
 
Zimewekwa na nani izo kanuni? Au unataka tu wafanye kama anavofanya flan uko nje?
Ziliwekwa na association of stand up comedians. Kama arts zingine, stand up comedy in kanuni zake. Stand up comedy siyo tu kusimama na kuchekesha kama unavyodhani.
 
Leonardo anachekesha wasomi na wenye D mbili, Tx Dullah na kipotoshi kidogo wanajitahidi.
Huyu Eliudi ashaanza kulamba asali, tutegemee mama anaupiga mwingi nyingi kama mume wa ephen_
 
Tx Dullah na Leonardo wanajua... Kuna huyu Steve mweusi hamna kitu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…