Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Style gani hiyo ya mchuzi au maana kuna wengine wanapenda kuharibu cv ya huyu mdudu
Hata sijui ila ilikuwa tamu sana!
1. Haikuwa na mchuzi!
2. Haikupikwa kama mboga!
3. Ilikuwa na mchanganyiko wa vitu mbalimbali kama viazi mviringo, mboga za majani n.k.

Halafu sasa ilipikwa na mafundi ujenzi kwa hiyo niliila kwenye kambi ya mafundi.
 
Nyoya tu ndo sijawahi kupita nalo vilivyobaki nimekula mkuu, kwahiyo ndio unaliwa tena ni mzuri hauna mafuta kama nyama yake, mzuri sana kwa wanywa pombe kali, uuchome au mchemsho tupia ndizi au Viazi weuweeeee nimekumbuka mbali sana
Hata yale masikio yake ni balaa.....unatafuna sikio linalia tu kwarachuu kwarachuu tamuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…