Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

Hakuna jibu la moja kwa moja, mfano mke mwenye heshima huacha kwanza mama mkwe wake apande gari na humfungulia mlango wa mbele...

Wakati huo huo mama mkwe mwenye heshima, humpisha mkwewe akae mbele...
 
Safi sana hapa umeua
 
SWALI ZURI,

NAMIMI NAKUULIZA SWALI

KATI YA MAMA NA MKE NANI ULIANZA KUISHI NAYE KWANZA KABLA HUJAZALIWA NA BAADA YA KUZALIWA KWAKO????

USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO.

NAFIKILI EMENIELEWA
 
SWALI ZURI,

NAMIMI NAKUULIZA SWALI

KATI YA MAMA NA MKE NANI ULIANZA KUISHI NAYE KWANZA KABLA HUJAZALIWA NA BAADA YA KUZALIWA KWAKO????

USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO.

NAFIKILI EMENIELEWA

Kuwa na Mkeo sio kuacha mbachao(Mama) Mama anabaki katika nafasi yake katika nyumba yake na mumewe(Babaako)

Mama yako sio Mkeo, ni MKE wa Baba yako.
 
None of them. I put all of them in the back. I put my kid in the front seat with me.
Never give priority to any woman. Women shouldnt also give priority to women. You will catch pure hell.
 
Mama atakuambia alikuzaa, na anataka Kula matunda ya mwanaye
Kuzaa na kulea ni proud na wajibu. Kulea wazazi pia ni proud na wajibu.
Hebu tuwaze tofauti lakini ndani ya Muktadha...hebu tuwaze nje ya mfumo dume. Kwa hiyo wanataka kusema kama mke ndiye atakua dereva au atakua mwenye gari ina maanisha mume akae nyuma?
 
Waafrica ushamba siku unatuisha na Dunia itakuwa imefikia mwisho, siti ya mbele unaona ishu sana? Kiusalama siti ya mbele haifai mjinga wewe ndio maana hata Raia hawezi kaa siti ya mbele ana kaa katikati
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Utaziweza Akili za Wanawake.
Wanawake wanapenda kupendwa.
Si unaona swali halijaulizwa Kwa upande wetu kina Baba.

Kwa Wanawake inamaana kubwa, Wanawake ni Watu wa kugombea nafasi za kupendwa[emoji3][emoji3]
Akili za Waafrica hizi, walio ubda Magari kam.Wajapani huwezi wakuta wanashobokea sijui sit za mbele njoo sasa kwetu Waafrica nywele ngumu
 
None of them. I put all of them in the back. I put my kid in the front seat with me.
Never give priority to any woman. Women shouldnt also give priority to women. You will catch pure hell.
Yaani nikisoma yaan nahic aka kakatuni kwenye avatar yako ndo kanaongea. Na sauti yake naisikia kabisa
 
Ukisoma comment unapata picha Aina ya wake au wenza ambao watu wako nao.
 
Hii mada ukitaka kujibu vizuri, jaribu kuvaa uhusika wa pande zote. Yaani jifanye mzazi na jifanye mtoto.
 
Hii mada ukitaka kujibu vizuri, jaribu kuvaa uhusika wa pande zote. Yaani jifanye mzazi na jifanye mtoto.
Simple tu hakuna complications akae mbele mama baasi...!!!jus simple maths
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…